Je, nifanye nini ili ibaki kuwa history!!!

Budodi12

Member
Aug 8, 2011
47
13
Niliamini alinipenda kwa dhati, but siamini kile anachoniambia sasa, "TUACHANE" ndo kauli yake ya mwisho.
Chanzo cha hili ni hv mara baada ya
Misimu ya sikukuu kuingia aliniomba hela ya shopping.
Kiukweli nilikuwa nimepigika sana coz mi ni mwanafunzi wa chuo na by that time boom halikueleweka lita toka lini.
Nilimweka wazi akanielewa.
Nilikuja kushangaa after 1week kabadilika ghafla na kusema mimi simjali kabisa so anaweza hata kuibiwa huko aliko.
Niliendelea kumwambia kuhusu hali yangu. 1/1/2012 nilimpigia simu kumtakia heri ya mwaka mpya, ndipo nikaambulia kauli isiyo na sababu "TUACHANE"
ni mwaka mmoja toka tuanze uhusiano.
Nilimpenda sana binti huyu and I've done alot 2her but siamini ninayoyasikia sasa.
Mbali na hayo, ametokea kunichukia sana now days na hataki kuona call or sms kutoka kwangu.
But I still luv her, je nifanye nini ili nistay away from her?
 
Ngoja kwanza nimalize kupika ntarudi kukushauri ila ushauri wa fasta hakufai wala hukustahili na hajawahi kukupenda alikuwa anakutumia!je unafurahi kuitwa buzi kama hapana kimbia zako.
 
Huyo tayari kapata wenye nazo ndo maana kasema muachane.
Ili uweze msahau jiweke busy na mambo mengine kama kusoma
 
Huyo alikua anataka boom lako tu.

Futa namba yake, weka akili kwenye kitabu, fanya mambo yanayokufurahisha, kuwa karibu na watu wanaokufurahisha utamsahau muda sio mrefu.
 
Hizi story za watu kuachwa na then bado wanang'ang'ania kwa wale waliowaacha zinakuwa nyingi sana
Watu wanashindwa kuelewa kuwa kama mtu amekumwaga move on na life na maisha sio yule yule tuu aliyekumwaga bado maisha yanaendelea na itakuwa asubuhi na itakuwa jioni siku imekatika
 
1. Hakikisha haukai idle muda mrefu mwenyewe,
2. Jichanganye na marafiki zako siku moja moja toka out na rafikizo hii itakusaidia kupunguza kumuwaza,
3. Kuwa busy na kitabu, elimu ni zaidi ya huyo aliyekupiga chini,
4. Muombe Mungu wako akupe mwingine mzuri zaidi yake.
:A S-coffee:

utamsaau tena msimu huu wa mechi za kombe la mataifa ya afrika,nenda kacheki kila mechi ondo picha zake kwenye simu na albamu yako.maana ukiendelea kuzicheki utaendelea kuumia.
 
Naomba nikuulize swali kabla ya kukupa ushauri. Huyo mtu wako mlipendana au mlitamaniana?
 
Tulipendana sana na hakuwa na tabia za kuomba omba pesa but in most cases nimekuwa nikijitoa kumsaidia pale anapopatwa na matatizo kwa moyo wangu kabisa coz ni Yatima.
 
pole xana ww endelea kupiga kitabu
Hao mbona wapo 2. Ww hulalamiki kwa kuachwa sema amekupotezea muda.
 
1. Hakikisha haukai idle muda mrefu mwenyewe,
2. Jichanganye na marafiki zako siku moja moja toka out na rafikizo hii itakusaidia kupunguza kumuwaza,
3. Kuwa busy na kitabu, elimu ni zaidi ya huyo aliyekupiga chini,
4. Muombe Mungu wako akupe mwingine mzuri zaidi yake.
:A S-coffee:

thanks for your help.
 
hata kama kusoma hujui basi picha ipo wazi kabisa mkuu, achana naye maana mpaka kufikia hivyo alivyo sasa ni kwamba hana time na wewe na inawezekana kabisa kwa asilimia nyingi ameshaanza mahusiano... kutokana na maelezo yako inaonekana amejua udhaifu wako kwa kuwa anajua kuwa unampenda saaana na anatumia nafasi hiyo kukuendesha!! si hilo tu binti anaonekana ni material oriented, yaani wewe kuwa naye lazima uwe na kitu. swali ni je: ukiwa nae ndani ya ndoa kwa mfano na siku moja ukapunguzwa kazi (hatuombei hili ila linawezekana) ataendelea kukuvumilia katika kipindi hiko kigumu? ndo mana nakwambia achana nae!! unatakiwa kuoa mke ambaye una hakika kuwa mtaendelea kupendana na kutoka out pamoja, kushikana mikono hadharani huku mkifurahi kwa miaka 25-30 ijayo ( licha ya changamoto mbalimbali za ndoa), na huyo si mmoja wao nakuambia.. na kumbuka si vyema kuonyesha upendo kwa mwenziwako kwa asilimia 100 waziwazi hata kama kweli unampenda hivyo, wengi wamelia kwa sababu hiyo!! Mpende ila uwe na kiasi na pia ajue msimamo wako tangu mwanzo na kuwa huyumbishwi hovyo, wanawake wanapenda watu imara na wanaostick katika maamuzi yao bila kusita ikiwa maamuzi hayo ni positive

move on!!!... kwa wakati huu usikurupuke kutafuta mwingine..pumzika kwa muda kidogo, futa machungu yote uliyonayo na jaribu kumsahau huyo mtu wako, futa contact zake zoote iwe simu, email, facebook na nyingine zoote!! ikiwezekana pata line mpya ya simu ili usipate nafasi ya kuintaract nae, kwa njia hiyo itakusaidia kumsahau kwa haraka... ukipata nafuu na kusahau, tafuta kigoli mwingine na usiwe na papara kwenye kumtafuta, jua historia yake na familia yake ilivyo kwenye mahusiano, hii itakusaidia sana kujenga mahusiano imara, ukiona umepata mtu anayeonekana hana mwelekeo usisubiri mpaka umpende weeee ndo ujaribu kujiondoa, toka mapemaaaaaaa.

nakuambia achana na huyo wa sasa kwa kuwa hawa viumbe huwa wanaacha mbachao kwa misala ipitayo, hawa viumbe wakishakudelete kwenye database zao basi ujue huna chako na imekula kwako, na ukiendelea kulazimisha unajenga chuki tu kwao, "to them there is a very thin line between love and hate", akikuchukia anakuchukia kweli, haijalishi kama mlikuwa na A+ ya mahaba.... achana nae, achana nae huyooo

all in all pole sana, lakini nakutia moyo utampata uliyetengewa na maulana muda ukifika... in the mean time hayo mapito upitayo ni experience tosha kwenye CV yako ya malavidavi, ukikutana nayo mara 2 au 3 basi utakuwa umekomaa haswaa na mapenzi ya siku hizi ya ki.com hayatakusumbua
 
Songíto;3210121 said:

asante sana kwa ushauri wako.
 
Back
Top Bottom