Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,611
Mchumba wangu ni mtu wa dini sana pamoja na familia yake, tuna mpango wa kuoana mwaka huu ila sijui lini, nimemwambia anipe mimba hataki, sina raha kusema kweli hadi mwezi wa tatu ajanipa tareh ya ndoa nachepuka zangu

Maisha nini bwana bila family? Sikubali heri nikose mume niwe na mtoto potelea mbali

KWANINI NILEE MTOTO WANGU UZEENI? SASA NAFANYA NINI KIJANA,AJE TULE MAISHA
 
Mhhhh
Taratibu Smile
Kwa nini usisubiri mpaka muoane au hujiamini
Mpe muda na yeye hawezi kupanga mambo mawili at per
 
ha ha Smile bana....hivi yule ndugu yako aliyekimbia ndoa akalala mbele na mzungu alirudi....? coz nakumbuka ilikuwa ureplace ile ndoa.....!!!
 
sijaekuewa kwakweli,inamaana we shida yako ni mimba tu?ni-pm,utalala kwangu siku1 tu
 
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza
Je JAMAA MWENYEWE ni huyo hapo juu AMBAYE ulimsaka kupitia hapa hapa JF siku za nyuma?
 
Mhhhh
Taratibu Smile
Kwa nini usisubiri mpaka muoane au hujiamini
Mpe muda na yeye hawezi kupanga mambo mawili at per
mimi nataka mtoto wangu bwana nimechoka kupakata wa watu.maisha ni leo bwana.
 
ha ha Smile bana....hivi yule ndugu yako aliyekimbia ndoa akalala mbele na mzungu alirudi....? coz nakumbuka ilikuwa ureplace ile ndoa.....!!!
ningejua ningeenda bwana
 
mimi nataka mtoto wangu bwana nimechoka kupakata wa watu.maisha ni leo bwana.

Sawa ila taratibu sasa
Usidai kama unadai salio dukani baada ya kununua mchele au sukari
Na wa kupanga mtoto ni wewe
Si unajijua bana siku zako za hatari unashindwa nini kumkamata jamaa wakati huo
Au mambo kwako hayajipi
 
Mbona tu muda sio mrefu last year ulikuwa unamtafuta mchumba humu? ni muda gani umempata na kuanza logistic za ndoa? na kwanini unataka mtoto nje ya ndoa? utakuwa una lako jambo
 
ataki tufanye bwana anadai hadi ndoa
 
Mbona tu muda sio mrefu last year ulikuwa unamtafuta mchumba humu? ni muda gani umempata na kuanza logistic za ndoa? na kwanini unataka mtoto nje ya ndoa? utakuwa una lako jambo
usichukulie jf serias mkuu ni ushauri tu wa bure nakupa
 
mimi nataka mtoto wangu bwana nimechoka kupakata wa watu.maisha ni leo bwana.
Kama ni mtoto utapata tu hakuna haja ya haraka
unaweza sema umuache na usipate mimba hivyo cha muhimu ni kujitahidi kuwa
mvumilivu tu ipo siku utapata mtoto tu
huwezi jua kwanini mitego yako hainasi
 
ataki tufanye bwana anadai hadi ndoa

Mhhh hapo nareserve my comment
maana kuna uhakika wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia
Hata kama amelelewa kwenye dini we mjanja bana unashindwa kweli kupata kile unachotaka
Na ujanja wako wote
 
mhhh hapo nareserve my comment
maana kuna uhakika wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia
hata kama amelelewa kwenye dini we mjanja bana unashindwa kweli kupata kile unachotaka
na ujanja wako wote
yaani hata kama ni kwenda kwake anahakikisha ndugu zake wapo.inakuwa ngumu ningembaka
 
kama ni mtoto utapata tu hakuna haja ya haraka
unaweza sema umuache na usipate mimba hivyo cha muhimu ni kujitahidi kuwa
mvumilivu tu ipo siku utapata mtoto tu
huwezi jua kwanini mitego yako hainasi
i wish sana mkuu au nimbake nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom