Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari JF. Mimi ni kijana na umri wa miaka 25, Mtanzania, dini Mkristo RC,elimu mwaka wa 3 degree ya IT. Natafuta msichana anayependa maendeleo na chapa kazi.Sina ubaguzi wowote kwan wote ni wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwenye uwanja wa wa mahaba kapo katabia ka kuficha "feelings" kwa khofu ya kuachwa majeruhi na yule umpendaye........kwa hiyo kamchezo hako hufanya binti au kijana acheze mchezo uitwao "mind...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Unamkewako wa ndoa unaishi naye vizuri tu ndani ya nyumba na anakutimizia haja zako zote na unamwamin sana naye pia anakuamin lakin kwa upande wako unamwanamke mwingine nje ya ndoa na hupendi mkeo...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau,naomba kuulza,hvi hawa wasichana ambao tumezoea kuwaona kwenye shooting za wasanii mbalimbali wakikata mauno,huwa wanaolewa kweli?
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Unakumbuka siku ulipoulizwa; Ewe. . . .,unakubali kumpokea . . . . .,awe mumeo/mkeo,katika shida na raha,magonjwa na afya na utamhesimu siku zote za uhai wako mpaka kifo kiwatenganishe?Kisha...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
natafuta rafik wa kike,umri kati ya miaka 22 had 24 na awe mkristo na ambaye yupo tayar kuwa nam
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kipindi nilikuwa nikifanyakazi kwenye operesheni ya wakimbizi huko Magharibi ya Tanzania. Kutokana na wimbi la Wakimbizi, kulikuwa na silaha nyingi sana zimezagaa na hivyo majambazi...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Naitwa Haji Rashid,,,,nina miaka 23,,ni mweupe kidogo{maji ya kunde},,,urefu ft,5.6,,,umbo langu ni la kawaida,,natafuta msichana mrembo awe na miaka 18/23,,,anayejitambua vizuri,asiwe mapepe,awe...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nilikuwa na mjadala na rafiki yangu mmoja na mada husika ilikuwa inajadiliwa. Kwamba, ati mwanamke akiugua labda kwa mrefu kidogo mwanamme hawezi kutulia sana huamua kutafuta kidumu au mahali pa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Inasemekana kwamba kunywa majivu yaliyokorogwa kwenye maji baada ya tendo huzuia mimba kutungwa? (kwa wenye utaalam wa kibaolojia tafadhali.)
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inasemekana mtori una husika sana katika kutengeneza afya yako na kukuwezesha kumudu vyema maisha ya "ndoa". Nime jifunza kuutengeneza,ningependa ujue pia na ujaribu mara moja moja...
3 Reactions
45 Replies
14K Views
hi wananchi wenzangu mnaona kuna umuhimu wa jeshi la polisi kuendelea kuwepo nchini? kwa upande wangu sioni haja ya kuwepo kama badala ya kuwalinda wananchi ndo linaongoza kuuwa raia wasiokuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nice wkend
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Too Good not to share … Best excuse by a female employee! This incident, happened in real life. The head of Human Resources at a very large bank, says that the best excuse for absenteeism, that...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mwanamke jirani yangu kwa kweli amenisikitisha sana. Watoto wake na wangu ni marafiki sana na wanasoma shule moja. Mume wa huyo mama yuko mkoani kikazi na mama nae ni mfanyakazi ktk ofisi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna Kipindi cha Clouds sasa hivi kinaendelea.Mada ni Mume wa mtu au girlfriend wa mume wa mtu ni mtamu! Loveness Love - the Diva anafagilia sana na kusifia... ati maboyfriend ni wachafu wananuka...
4 Reactions
144 Replies
25K Views
Mama 1 huko TABORA ametiwa nguvuni kwa kosa la kuiba mtoto wa mwezi1 ili akamlidhishe mumewe kwamba alikua mjamzito sasa amejifungua,familia ya mama huyo mwizi na mumewe walikua na ugomvi wa muda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwanini watu huwa wanaumia sana katika suala zima la mapenzi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hvi jaman kipi bora kwny ndoa kati ya kukaa na mtoto alyezaa nje mumeo au mtoto akakae kwa mama ake thn mumeo akapeleka huduma?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
LISTEN TO 'KIATU KIVUE' Artist: Anastazia Mukabwa & Rose Muhando Song: Kiatu Kivue Language: Kiswahili Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…