Jeshi la polisi

johnson.linus

Member
Feb 2, 2012
5
0
hi wananchi wenzangu mnaona kuna umuhimu wa jeshi la polisi kuendelea kuwepo nchini?

kwa upande wangu sioni haja ya kuwepo kama badala ya kuwalinda wananchi ndo linaongoza kuuwa raia wasiokuwa na hatia yoyote!
 
Jeshi hili ni la muhimu kuwepo. Ila mapungu kwenye utendajio wake ndio yanatakiwa Yarekebishwe

Ili Imani iendelee kewepo juu yake
 
Back
Top Bottom