Mama wa miaka40 afikishwa mahakamani kwa kosa la kuiba mtoto wa mwezi1!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Mama 1 huko TABORA ametiwa nguvuni kwa kosa la kuiba mtoto wa mwezi1 ili akamlidhishe mumewe kwamba alikua mjamzito sasa amejifungua,familia ya mama huyo mwizi na mumewe walikua na ugomvi wa muda murefu kotokana na kukosa mtoto!mtoto kaibwa mwezi 1 uliopita maeneo ya MWANZA RD TABORA mjini na amekamatwa jana maeneo ya Kariua njia panda ya KIGOMA na MPANDA.
Amekutwa kamuweka kifuani anamnyonyesha.
Sasa shangaa,wengine wanaiba wengine wanawatupa chooni.
Chanzo TBC asubuhi ya leo.
 
ndio maana tukaambia watu tupo tofauti mkuu na tofauti yenyewe ndio hiyo..
 
Ni hbr ya kusikitisha kwa kweli. Suala la zima la kupata watoto ni neema tu kutoka kwa Mungu. Kuna wengine wapata bahati hiyo na kuna wengine hawakubahatika ktk hili.

Pia wapo ambao hawajabahatika kwa sababu ya uzembe wao wenyewe kwa kuwa na matumizi mabaya ya viungo na miili yao, lakini wapo pia ambao hawakubahatika kwa sababu ya matatizo ambayo mtu anazaliwa nayo.
All in all, huwa ninasikitika kusikia hbr hizi za wadada kuiba watoto kwenda kupeleka prove kwa mumewe/ndugu wa mume kuwa na wao wanaweza kuzaa.

Cha msingi, sisi wenye ndugu na tuachane tabia za kuingilia ndoa za wenzetu kwa masimango ya kuzaa au kutokuzaa maana ndiyo chanzo cha haya yote

Na kwa familia ambazo hazijabahatika, waache tabia za kuiba watoto. Ni vyema watulie wamuombe Mungu, huenda kwa imani yao, one day wanaweza kubahatika kupata watoto.

HP
 
1. Wanandoa wote mkikosa mtoto shukuruni mungu,haina haja ya lawama.
2. Kumbukeni mtoto wa dada/kaka ni mwanao pia tena anaweza kuja kukufaa zaidi ya uliemzaa.
3. Kwenye mapenzi fanya uwezacho.....usichoweza acha....sio kila kitu umridhishe mwenzio
kuna siku atataka roho yako sijui utamridhishaje hapo??????
 
Ukistaajab ya musa utayaona ya firahuni,wengine wanawatupa watoto chooni,wengine wanaangaika kutafuta watoto....
 
Ukistaajab ya musa utayaona ya firahuni,wengine wanawatupa watoto chooni,wengine wanaangaika kutafuta watoto....
Huyo mama si angeanza kuzungukia vyooni na majalalani tuu maana ndiko wanakotupwaga huko wa bure bure???
 
Back
Top Bottom