Natafuta mrembo wa kuwa nami. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mrembo wa kuwa nami.

Discussion in 'Love Connect' started by voozle, Feb 24, 2012.

 1. voozle

  voozle Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naitwa Haji Rashid,,,,nina miaka 23,,ni mweupe kidogo{maji ya kunde},,,urefu ft,5.6,,,umbo langu ni la kawaida,,natafuta msichana mrembo awe na miaka 18/23,,,anayejitambua vizuri,asiwe mapepe,awe umbo la kawaida,elimu japo kidato cha nne,awe mzuri na awe na adabu kwa kila mtu.nitafute kwa E-mail...hajirash28@yahoo.com
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kua kwanza halafu urudi tena
   
 3. kikwakwa

  kikwakwa Senior Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ni mvulana bado hujafikia kwenye uanaume.
   
 4. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kazi kwelikweli
  nakuombea kwa mungu ukutane na msichana mzuri asikusumbe wala kukutia wazimu na muendane mana wasichana wa siku izi ni umiza kama sio pasua kichwa
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Inshaallah m/mungu atakusaidia,tia nia,funga japo sunna ya siku 3.
  Nakuhakikishia utampata umtakae inshaallah!
   
 6. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Inshaallah mm naona kufunga ndio njia pekee yakupata mke mwema.ushauri uliopewa nafikiri utakusaidia
   
 7. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,355
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  umbo la kawaida unamaanisha nn?
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kalale kama huwezi kumsaidia kijana!
  Kwani nini maana ya umbo???
   
 9. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  kwanini asiende FB utaoa wanajeshi humu.
  Kuanzia Majina mpaka picha za profile ni za uongo.wasichana wa humu teali wana sifa ya uongo huwawezi.
   
 10. m

  mohdy Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 5
  Poleni toka lini wachumba wanapatikana humu hata haya hamuoni utampendaje m2 mwenye akili yake hataki mchumba humu coz m2 hata tabia zake humjui humjui hata alivyo
   
 11. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Umewapa taarifa wazazi/ walezi wako kuwa unahitaji huyo binti?
   
Loading...