Ile siku yako ya ndoa. . . . .!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Unakumbuka siku ulipoulizwa; Ewe. . . .,unakubali kumpokea . . . . .,awe mumeo/mkeo,katika shida na raha,magonjwa na afya na utamhesimu siku zote za uhai wako mpaka kifo kiwatenganishe?Kisha ukajibu ndiyo!!!!Unaikumbuka kauli hii?Je ina nguvu kwako leo kama siku ile?Je unapokumbuka unajisikiaje?
 
Ndoa nyingi za cku hz ni kama fasheni tu!
 
ndiyo kauli hiyo.......
ndiyo ina nguvu kwako.....
na najisikia vyema maana mpaka dakika hii namshukuru Mungu kwa kunipa wa kufanana nae,
 
Nilipo yatamka maneo hayo siku ile Moyo ulinienda mbio sana
Nika muomba MUNGU anitangulie ktk ahadi yangu

Miaka inavyozidi kwenda maneno yale ndio muongozo wangu

Na ndoa Ni NJEMA , NINAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIWEZESHA
 
Unakumbuka siku ulipoulizwa; Ewe. . . .,unakubali kumpokea . . . . .,awe mumeo/mkeo,katika shida na raha,magonjwa na afya na utamhesimu siku zote za uhai wako mpaka kifo kiwatenganishe?Kisha ukajibu ndiyo!!!!Unaikumbuka kauli hii?Je ina nguvu kwako leo kama siku ile?Je unapokumbuka unajisikiaje?

Hayo huwaga ni maneno tu na huwa hayana nguvu kihivyo...
 
Deskmate! sjui kwanini kule inakataa kujibu aisee au umenibloki? lol
Acha nisichakachue sredi, uhondo wako nakuwekea sehemu spesho.
Deskmate!!! Za siku?
Nilibadili settings zangu, ngoja nikacheki fasta. Kama vipi tuma hata PM basi lol
VIpi wewe, unakumbuka siku ulio sema 'yes'?
 
direcyor wa hiyo movie alikuwa nani?
Kama ni fellow tablet mmeumizana.
heheh fellow tablet tunashirikiana kwenye masuala ya siasa tu lakini habari za kumuonesha titanic wangu yaani haipo kabisa kwenye silabas.
 
Unakumbuka siku ulipoulizwa; Ewe. . . .,unakubali kumpokea . . . . .,awe mumeo/mkeo,katika shida na raha,magonjwa na afya na utamhesimu siku zote za uhai wako mpaka kifo kiwatenganishe?Kisha ukajibu ndiyo!!!!Unaikumbuka kauli hii?Je ina nguvu kwako leo kama siku ile?Je unapokumbuka unajisikiaje?

Hata sijaifikia so sikumbuki na sijui kitu!
 
Back
Top Bottom