Hvi wasichana wa aina hii huwa wanaolewa na nani?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,naomba kuulza,hvi hawa wasichana ambao tumezoea kuwaona kwenye shooting za wasanii mbalimbali wakikata mauno,huwa wanaolewa kweli?
 
Wanaolewa na wachovu wenzao au malimbukeni wanaowafia mastaa mbuzi wa Bongo.
 
biashara matangazo mzee, so wakishajitangaza hivyo wanapanua wigo wa soko
 
Wanaolewa wanaocheza movie za x itakuwa wacheza shoo? Kazi ni kazi kijana! Mungu anaposema nitakufanyia msaidizi wa kufanana nawe anamaanisha!
 
kuna ambao tayari wako kwenye ndoa .. na wengine wanaolewa tu au wana wenza (wachumba). japo wapo wanaochukulia kama sehemu ya kazi kwa kujiheshimu ila wengine ndo wauzq sura na sehemu ya kujitangaza kibiashara
 
He wewe ..wanaolewa sana tena na wanaume! Mungu akisema pata ni pata tu,mawazo yake c mawazo yetu!
 
jamani kuwa movie actor ni taaluma kama zilivyo taaluma nyingine.
Respect! (source: Field Marshal FMES).
 
Wachache wanaolewa, lakini wengi wanaishia kudanganywa tu na wale wanaopenda kuvuna kila shamba walionalo.
 
wanaolewa ila ni pasua kichwa kweli kweli,tena unakutwa kapendwa kutokana na na kazi anayofanya
 
Back
Top Bottom