Inbox ya Mwanamke ina meseji nyingi za namna hii...
I love u (Dany) ...........
Hi babe.....
(smjui)MPESA BKX556 CONFIRMED YOU HAVE RECEIVED SH.80,500 FROM MIKE JOHN
can I take u out...
Wana JF nimeona nisikae kimya bila kuwajuza wema wa Mungu kwangu.
Najua wengine mtakuwa mmevaa kijani/njano kusherekea "chama chetu cha mapinduziiii chajenga nchi" (itikia ni wimbo) huku wengine...
Wale washauri nasaha, na wanasaikolojia wanaotoa huduma ya ushauri katika kituo cha MARINATHA mjini morogoro wameamua sasa kufungua chuo maalumu kwa ajili ya kufundisha mambo ya mapenzi kwa vijana...
Nampenda msichana ambaye tayari ameumizwa katika mahusiano mara mbili,one of which he loved the guy so much. Tumekuwa pamoja kwa takriban mwezi+ sasa na muda mwingine anakuwa too much mnyonge...
Wanajamii ni hivi juzi nilibahatika kuongea na mtaalam mmoja.Tukiwa katika mazungumuzo tuligusia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu.Alinihakikishia kuwa dawa za kununua za kuongezea nguvu zina...
Mambo Vipi Wakuu?mwenzenu kuna mdada naishi nae kanizidi kama miaka 7 tatizo lake kubwa ana wivu kinoma na kutokana na wivu wake hataki hata nifanye kazi amefungua ofisi maeneo ya magomeni na...
Umekaa na mpenzi wako sebuleni mmepumzika usiku...gafla unamuona anachart na hauna tym naye kwa anachokifanya gafla unasikia mlio wa msg kwenye simu yako,Unafungua msg na kusoma unakuta imetoka...
habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale...
Jf imekua msaada mkubwa sana kwangu, nimebahatika kuwasiliana na watu wengi na wengine kufikia kuanzisha uhusiano ila nasikitika mara nyingi dini imekuwa kikwazo..kwani ahiwezekani watu wenye dini...
Wanaume wengi wafujaji au watesaji wa wake zao hujitahidi sana kumtenganisha mke na ndugu zake. Wanapofanikiwa kuwatenganisha, wanaume hao huwa wamejitengenezea wigo mpana zaidi wa kuwadhibiti...
Ni mchakato kabambe wa jinsi ya kumvutia mtoto wa kike hususani ukizingatia umuhimu wao katika kukamilisha furaha yetu ,wengi wameishi kutafuta wana wake wepesi kuwamaliza au vicheche , japo...
Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu
Unajua katika mapenzi unaweza ukaishi na mtu...
Baada ya kupata ujauzito alihangaika kujua 'sex' ya mtoto kama akiwa wa kiume basi afunge uzazi maana tayari alishakuwa na mtoto wa kike. Baada ya kufanya vipimo vya ultr-sound, akaambiwa mtoto...
Wakuu,me cjui huwa nina tatzo gani,yan kila nikiwa naongea na msichana ambae nampenda kwa dhati huwa nakua speechless kabisa,naweza nka mcall kwenye simu afu ncmwambie kitu chochote cha maana,hadi...
mumewe anafanya kazi hana muda wa kuongea na mke wake yeye na bb kuchat mke wake alikua akikwazwa na tabia hiyo kwan yeye alikua na kasimu ka tochikasichokua na hata internet
Sasa amepata...
Nimekutana na mkaka online JF, tukaflirt sana PM huku tukipeana fake info about each other kwa muda kama wa miezi 8 hivi.
Alinidanganya ameoa nami nikamdanganya kuwa nimeolewa. alinidanganya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.