Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mwanamke jirani yangu kwa kweli amenisikitisha sana. Watoto wake na wangu ni marafiki sana na wanasoma shule moja. Mume wa huyo mama yuko mkoani kikazi na mama nae ni mfanyakazi ktk ofisi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna Kipindi cha Clouds sasa hivi kinaendelea.Mada ni Mume wa mtu au girlfriend wa mume wa mtu ni mtamu! Loveness Love - the Diva anafagilia sana na kusifia... ati maboyfriend ni wachafu wananuka...
4 Reactions
144 Replies
25K Views
Mama 1 huko TABORA ametiwa nguvuni kwa kosa la kuiba mtoto wa mwezi1 ili akamlidhishe mumewe kwamba alikua mjamzito sasa amejifungua,familia ya mama huyo mwizi na mumewe walikua na ugomvi wa muda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwanini watu huwa wanaumia sana katika suala zima la mapenzi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hvi jaman kipi bora kwny ndoa kati ya kukaa na mtoto alyezaa nje mumeo au mtoto akakae kwa mama ake thn mumeo akapeleka huduma?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
LISTEN TO 'KIATU KIVUE' Artist: Anastazia Mukabwa & Rose Muhando Song: Kiatu Kivue Language: Kiswahili Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi ni kijana nadhifu Natafuta msichana awe maji ya kunde, miaka 24-27,mkristo, msomi angalau Diploma,mcha Mungu, mwenye kujituma,mwaninifu mtii,mpole wastani Asiwe mlevi,mvuta sigara, Mi ni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Bishanga nikichezea kichapo toka kwa mama Kayaii nikaja kulalamika hapa mmu mnanicheka,jamani zis is a serious problem,hebu someni hii toka front page ya 'daily news' ya leo: Kenyan men urged to...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Wana Jf, kuna usemi wa kingereza unaosomeka:- always women give sex to get love while men give love to get sex. Je kuna ukweli wowote. Kwa mawazo yangu naona wanawake kutokana na usemi huo ndio...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni vipi mapenzi sio pombe, lakini yanalewesha? Sio kidonda lakini yanatonesha? Sio maradhi lakini yanauwa? Sio harusi lakini yanafurahisha? Sio fimbo lakini yanaumiza? Jee waungwana mapenzi nini?
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Mwanamama mmoja nchini Marekani anayefanya kazi mochuari ameingia matatani baada ya kupata uja uzito kwa kujamiiana na mtu aliyekufa. Mtandao wa habari wa dead serious news umesema tukio hilo...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
NDOA bana ajabu kweli. Ndoa ni kama shule,mara nyingi kabla ya kuingia kwenye ndoa sio rahisi kumfahamu mwenzako kwa kila kitu,hasa tabia zake zote. Kwa kua ndoa ni kama shule,tunategemea...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
WANAUME nchini KENYA leo wanaanza mgomo wa siku sita wa KUTO KULA NYUMBANI kupinga vitendo vya KUPIGWA na wake zao. Huh,hivi hawa ni wanaume kweli au mashoga? Au ndo wale wanao tunzwa na...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Nimekutana na msichana flani hvi jana,tukabadlishana namba zetu za simu!cha kushangaza eti leo ananitumia tafadhali niongezee salio..ni halali kweli ukzngatia hata cjatupa nyavu bado?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Money can be one of the biggest stressors in a marriage, and fights over money can often lead to divorce. Don’t let your relationship be a casualty of money stress. Here are some money moves that...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf'mm n member mzuri sana wa hii rum ila cjawahi ku comment chochote coz najikuta nasoma 2 comm za wa2 na kurifresh mind! Ok' leo nimejikuta natinga kwenye uwanja.majuz nilienda kumpa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwakua maisha mjini yalizidi kua magumu kulikua hakuna jinsi, tukaona turudi kijijini. Nilimpenda sana mkewangu, nikaona niende kukaa kwa kaka yangu naemfata. Walipendana sana na mke wake. Thanks...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanajamvi Nilikuwa na Mpenzi wangu ambaye tumekuwa katika mapenzi kwa muda mrefu sanaa, ni karibu miaka sita. katikati ya uhusiano wetu alipata ujauzito na tuna mtoto mmoja ana miaka minne lakini...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Naomba kuuliza KUNA CCTM AMBAYO MTU ANAWEZA KUPATA MSG ZA MTU FLANI ANAZOTUMIWA..... mfano mimi naweza nikasoma msg zote zinazoingia kwenye cm yako unazotumiwa na mtu yeyote kupitia cm yangu bila...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Back
Top Bottom