Saidia kwa ushauri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saidia kwa ushauri.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WALIMWEUSI, Feb 24, 2012.

 1. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kuna mwanamke jirani yangu kwa kweli amenisikitisha sana. Watoto wake na wangu ni marafiki sana na wanasoma shule moja. Mume wa huyo mama yuko mkoani kikazi na mama nae ni mfanyakazi ktk ofisi fulani hapa mjini.


  Kuna siku kijana wake uyo mama alikuja kwangu analia. Nilipomuuliza why analia akadai mamake kampiga. Sikuona sababu ya kumuuliza mamake coz najua watoto kupigwa na wazazi ni kitu cha kawaida. Jana uyo mtoto kanifuata akasema anaomba nimsaidie ana shida kubwa. Akasema ameshamkuta mama yake mara nne akiwa anafanya mapenzi na wanaume asiowajua ili hali babake yuko mkoani. Anaogopa kuongea na mamake kwani ile siku alipigwa coz alimuuliza mamake kwa nini anafanya tena nyumbani na huwa anakereka sana na tabia ya huyo mama.

  Sasa anasema kampigia simu babake na akamwambia kuhusu tabia ya mamake. Mdingi wake akamwambia asihofu, yeye anachukua likizo aje then atajua cha kufanya. Anadai baba alimhakikishia kuwa hawezi kumfanyia mamake kitu kibaya. Sasa mtoto anaogopa na anadhani babake alisema vile ili kumtoa hofu mtoto ila something bad may happen.

  Anaomba nimsaidie ktk hili ili balaa lisitokee. Nilimwambia leo nikirudi nitamshauri. Ebu wadau nisaidieni, nifanyeje? Mimi sipo karibu sana na huyu mama, ni vile tu watoto wetu ni marafiki na tu majirani.

  ANGALIZO: Baba ni Mkurya by tribe na by professional ni MWANAJESHI.


  Kweli nilikosa cha kushauri yule mtoto
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Unajua maana ya 'KUGECHA'

  Tia pua yako katika hiyo ndoa ndo ukapogechiwa vizuri
  Hivi mtoto wa sekondari unashindwa kumtoa wasi wasi bila kijiingiza kwenye ugomvi huo

  Ukiuziwa kesi, useme umeonewa?? Hakawii kusema na wewe unammgega mkewe.

  Don't stick your nose where you don’t belong...
   
 3. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Me sitaki kuingilia iyo ndoa, ila mtoto yupo ktk wakati mgumu aisee!Afu mama hajui kinachoendela lol! Anyway, ntamtoa wasi wasi kama ulivyonishauri ila mhh, siku Cruzer ikipaki home patachimbika.
   
 4. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Too late,tayari baba ana taarifa na yeye ndio mwenye maamuzi sasa. Kama kweli alitaka kushauriwa au ana hofu na usalama wa mama yake asingemwambia baba yake at the 1st place. Wasubiri matokeo tu.
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Asihofu huyo dogo...asimamie ukweli tu na aonyeshe misimamo kwa hilo
   
 6. piper

  piper JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama kuwa na kabila au kazi nyingine itakufanya ujisike better mkuu, hata ukiwa mpole vp huwezi kuruhusu mali yako kuliwa, cha muhimu huyo mama utulivu ni sifuri, halafu anafanya uchafu huu watoto wakiwepo!!!!!!!!!!! puuuuuu, shame on her.
   
 7. k

  kisukari JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  tabia mbaya kwa huyo mama jamani,si bora angeyafanya huko nje.anaonyesha mfano gani kwa watoto?hajui ni jinsi gani anawaumiza watoto?mimi nampa hongera huyo mtoto kumuuliza huyo mama,maana inataka moyo,yeye solution yake kaona ni kumpiga.mwambie huyo mtoto hana makosa yoyote yale,kwani huyo mtoto kukwambia wewe ni amekuamini.wewe mpe moyo tu.mwambie ajaribu ku focus na masomo yake.chochote kitakachotokezea sio kosa lake.na huyo mama usimwambie kitu,kwani habari tayari zimeshamfikia mume wake
   
 8. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  ushauri wa nini wakati ameshamwambia babake.angekuomba ushauri kabla hajamwambia m sure.
   
 9. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  mume ana muda gani toka aliposafiri inawezekana labda miaka 2 unadhan huyu mama ataishije?
   
 10. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  unatakiwa kuwa mwangalifu;
  kama ni mtoto wa sekondari, kuna watoto wanajua kutengeneza magomvi. lakini huenda ni kweli.
  nakushauri umshauri huyo mtoto apeleke hofu yake kwa ndugu wa baba yake, na siyo kwako. kusaidia ni vizuri lakini kujiingiza bila uangalifu inaweza kukugharimu wewe na familia yako
   
Loading...