Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Je unataka mtu anayefanana na wewe au aliyetofauti na wewe ktk tabia na matendo.:thinking::thinking::thinking::thinking::thinking:!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
785 Views
huwa sielewi mwanamke anapopewa jukumu la kulea mtoto ambaye si wake (namaanisha mama wa kambo) anakua na roho ya tofauti (mbaya).... ni mara chache unasikia mtoto anaelelewa na mama wa kambo...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Natafuta garfrnd awe mwaminifu elimu form four call 0682812668
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Jana nikiwa kaunta ulizuka mjadala kuhusu mdau mwenzetu na ndoa yake. Kuna waliodai kuwa mkewe ana maringo sana na wengine wakidai mume anamdekeza sana. Binafsi sikuchangia kwa kuwa haya maneno...
0 Reactions
42 Replies
15K Views
Watafiti wa chuo kikuu cha Colorado na Texas walifanya utafiti kuhusiana na wanawake kutoka nje ya ndoa zao. Katika utafiti huo wataalamu hao waliwahoji wanawake 4,884 walioolewa kwa mtindo wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hi guys... hope mko pouwa! Kuna mjadala tulikuwa tunajadili siku moja. Eti mwanaume akikupelekwa kwake "kumbuka huyu ni single yaani hajaoa. Ni kwamba kakuheshimu na ni mwaminifu ndo maana yuko...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Mi ni mume wa mtu na watoto wawili. Kuna mdada ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja. Karibu miaka miwili sasa huyu mdada kuna kazi za kiofisi tumekuwa tukishirikiana. yeye yupo kampuni nyingine...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Rafik wa mpenz wangu ananifanyia vituko wala simuelew manake anatuma msg za kmapenz na kuja gheto wakat mpenz wangu hayupo yaan rafk yake. Na akja akimkuta anakuwa hana raha kama awali hata story...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
mm morse wa ukwel
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nazikumbuka vizuri siku kama hizi ,siku ambazo mvua ilikuwa ikinyesha wakati bado niko motto mdogo.Kipindi cha maisha yangu ambapo sikuwa na hofu ya maisha yangu ya baadae,kipindi ambacho...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nimekutana na mzee mwenzangu ambaye naye ni BBC (Born before computers), na katika mambo ambayo tumejadili, ni juu ya malezi kwenye familia. Yeye anasema kuwa hawa vijana wa enzi hizi (BAC...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Assalamu Alaikum Admins, Moderators na members wote wa Jamiiforums Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba wa Mama yangu Mzazi, amefariki usiku wa kuamkia leo, na Insha'Allah maziko yatafanyika...
0 Reactions
185 Replies
13K Views
Habari zenu wana jamii? Mimi ni kijana mtanzania mzalendo-nina kazi ambayo namshukuru Mungu inanifaa. Ninataraji kufunga ndoa mwakani. Nampenda mchumba wangu, ila tatizo nililonalo ni hili : mwaka...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kuna misemo huwa naisikia sana. wa kwanza ni kwa baadhi ya wanaume ambao wamewatenda wanawake na baadhi ya wanawake wanapokua kwenye mijada wakisimulia waliyotendwa na wanaume. na mwisho wa siku...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf, katika professional za watu na mahusiano nimekutana na kikao cha watu wakijadili hiyo mada. Wanasema kuwa wanawake wanaofanya kazi ya uuguzi(manesi) ni rahisi sana kutoka nje ya ndoa zao...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Heshima zenu wana MMU, Mi kuna jambo huwa linanipa shida sana, Hivi inapotokea unampigia simu mpenzi/mchumba/mume/mke au mtu yeyote ambae unamuheshimu ghafla katikati ya mazungumzo yenu unashangaa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kuna watu niliwasikia wakisema eti wanaume mabonge tena wenye matunbo kabambe huwa wadhaifu kunako sita kwa sita? na wakimaliza round moja wanahema kama kuku hawawezi kurudia? nijuzeni mwenzenu.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi niko Dar Maeneo ya kariakoo ningependa sana awe member wa jamii forum ili kupashana latest news and tricks
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimefiwa na Mama Yangu Mzazi Hospitali ya Selian Mjini Arusha. Alikuwa na tatizo ya maji kwenye mapafu. Nashauri tuwe tunapima afya zetu kwani tatizo kama hili likijulikana mapema linatibika. Kama...
2 Reactions
85 Replies
6K Views
kuna jamaa alipata binti mkali kishenzi sasa kuna cku binti kaja gheto na jamaa alikuwa na hamu sana sasa alishindwa aanzaje kumwambia binti wafanye sasa cku moja tupo bar tunapiga stori jamaa...
1 Reactions
77 Replies
15K Views
Back
Top Bottom