Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu Wana JF, Salaam! Nimejaribu kuangalia kama hii mada ilishaletwa hapa lakini sikuona inayolingana nayo. Ikiwa ipo tayari samahani kwa kuirudia. Huwa ninatatanishwa na dhana ya WIVU katika...
0 Reactions
119 Replies
75K Views
Natafuta mchumba sifa awe na heshima pia mavazi ya kujieshimu umri 20-30 ukijiona unasifa hizo usisite nitafute kupitia 0713422764
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hvi utafanyaje once unapogundua boyfriend wako ana uhusiano nyuma ya pazia na demu aliyezaa nae hapo awali kabla yako
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja alitaka kuoa, hivyo akamuomba rafiki yake amtafutie mchumba. Rafiki akamtafuta msichana ambaye ametulia iel mbaya, asiyependa makuu na wala hakuna mtu aliyekuwa akijua sifa zake...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Naelewa kuwa mna mahitaji ambayo kidogo yamepita ye2. Naelewa pia kuwa kila m2 anatakiwa awazie kwa maisha yake jinsi gani atakavyojipatia mahitajiyake. Ila sasa naona ndugu zangu mna tamaa 2much...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
habarini wanajf, let asume wewe ni msichana ulianza uhusiano na kijana miaka 10 iliyopita means kwanzia secondary, wakati mnaanza urafiki alikulazimisha sana mnaniii ......lakini ukakataa ukiogopa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi kama tusikitikavyo tukiondokewa na mwenzetu basi tusherekee pale mwana JF anapopata ubavu. Mwana JF mmoja aitwaye Kuberwa anatarajia kuolewa mapema mwaka huu so siku ya Arusi...
8 Reactions
109 Replies
10K Views
Wasalaam!, Sitaki kukupotezea muda mwingi naomba sana munisaidie shida yangu hii kwani nahisi dunia yote nimebaki peke yangu!!. Kifupi mimi ni kijana wa miaka 29 na nimesoma mpaka chuo kikuu,japo...
0 Reactions
93 Replies
23K Views
Tall men seem sexier to women and more likely to father their children, in turn tall men find smaller women more attractive, the taller men are, the more likely they are to have found a mate and...
0 Reactions
114 Replies
10K Views
Mtu ana mimba ya miezi nane na ushee lakini bado tu anataka kunanihii na mumewe kisa eti kumdhibiti mumewe asitoke nje, hii imekaaje?
1 Reactions
27 Replies
16K Views
nauliza kwasababu mm mwenyewe nmeulizwa ila nmeona niwashilikishe na wana jf wenzangu,naomba michango yenu,kama haujaelewa ni ipo ivi,mfno ww mpz wako anakwambia kila anachokifanya may be amenunua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
sometimz bana, you may find embarasng ur self when reading a T-shirt of ur fellow man reading"YOU ARE MY PRECIOUS FUTURE HUSBAND"
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kesi moja iliwahi kuripotiwa nchini Marekani, Novemba 1996, inayomhusu mama mmoja aliyeshitakiwa kosa la uzembe na utesaji wa mtoto wake wa kike aliyekuwa na umri wa miaka 13, aliyefariki...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto. Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine...
2 Reactions
560 Replies
38K Views
Mamboz! Naombeni ushauri juu ya hili……. Juma na Asha ni wapenzi, Juma anafanya kazi Mkoani Dodoma, Asha anafanya kazi Mkoani Tanga. Sasa kuna rafiki yake ya Asha anatarajia kufunga...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Natafuta msichana wa kunifundisha maana ya kupenda. Angalizo-ni kwa wasichana peke yake.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Inbox ya Mwanamke ina meseji nyingi za namna hii... I love u (Dany) ........... Hi babe..... (smjui)MPESA BKX556 CONFIRMED YOU HAVE RECEIVED SH.80,500 FROM MIKE JOHN can I take u out...
16 Reactions
53 Replies
9K Views
Gonga hapa: Ndoa ni mchuzi - YouTube Then tafakari na ufanyie kazi. Penda mke/mume wako. muheshimu, mlinde.
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Wana JF nimeona nisikae kimya bila kuwajuza wema wa Mungu kwangu. Najua wengine mtakuwa mmevaa kijani/njano kusherekea "chama chetu cha mapinduziiii chajenga nchi" (itikia ni wimbo) huku wengine...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Wale washauri nasaha, na wanasaikolojia wanaotoa huduma ya ushauri katika kituo cha MARINATHA mjini morogoro wameamua sasa kufungua chuo maalumu kwa ajili ya kufundisha mambo ya mapenzi kwa vijana...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
Back
Top Bottom