Tofauti ya INBOX YA SIMU YA MWANAMKE Na INBOX YA SIMU YA MWANAUME...........???????

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Inbox ya Mwanamke ina meseji nyingi za namna hii...
I love u (Dany) ...........
Hi babe.....
(smjui)MPESA BKX556 CONFIRMED YOU HAVE RECEIVED SH.80,500 FROM MIKE JOHN
can I take u out tonight..........
Tigopesa Umepokea muda wa maongezi wa sh 5,000 toka kwa Alfred John.....
I miss u babe.......
(Mzushi) MPESA CONFIRMED....
Hi swity............
(Mike) MPESA CONFIRMED.....
Mwaah..........(Dia)

Inbox ya Mwanaume
Vodacom: YOU HAVE INSUFFICIENT FUNDS PLEASE TOP UP.
Tigo: Umekatwa sh 1200 kulipia deni lako ulilokopa Tigo.
(Mwenye Nyumba) Wewe punda lipa Kodi
Airtell Modem: Huna salio la kutosha. Kifurushi hiki cha Intanet ni Sh 15,000.Tafadhali ongeza salio na ujaribu kujiunga tena kwa kutuma neno Datawiki kwenda 15444...........
I missed my periods I think I'm pregnant...............
(Jane ) Turushie basi hata Elfu Tano...... (Baba).
Tigo: Umekatwa sh 120 kulipia deni lako ulilokopa Tigo..............
Tafadhali nipigie...........
(Caro) Tafadhali niongezee salio................
(Aisha ) FAILED: THERE IS NO ENOUGH MONEY IN YOUR MPESA ACCOUNT TO BUY SH.500 OF AIRTIME. YOUR BALANCE IS SH.40.
 
he he he hiyo ya i missed my period ni emergency sms....inatisha balaa kama hukupanga
 
Hahahaa. . .
Wanaume mna kazi!! Ila wanawake wengine wana kama za wanaume, na wanaume wengine wana kama za wanawake.
Hapa nakubaliana na wewe!! BTW, wanaume tupo wachache, lazima mtuhangaikie!!
 
......inaendelea:
INBOX ya Feisbuku:
-jana kwa nini ulinigandisha?(fidel)
-umkome bwanangu(mwali)
-hivi kuazima sidiria yangu ndo nin usirudishe(Ashadii)
-nshakwambia bishanga ana mwenyewe(Lizzy)
INBOX ya Rejao:
-baby jana ndo hujanifikisha kileleni?(feisbuku)
-kila siku unandanganya utakuja kwa wazazi(zubeda)
-zile condom ulikumbuka kuzitoa kwenye gari?(SL)
-yaani jana du,magoti yamelegea (Husn)
-hama mjini,kova anakutafuta kwa wizi wa kuku(kibonde)
-ole wako nikukute na Lizzy(bishanga)
..........itaendelea
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom