Wana JF nisaidieni kwa habari ya hawa girls girls girls!!!!

edcv

Member
Feb 22, 2012
48
23
Naelewa kuwa mna mahitaji ambayo kidogo yamepita ye2.
Naelewa pia kuwa kila m2 anatakiwa awazie kwa maisha yake jinsi gani atakavyojipatia mahitajiyake.
Ila sasa naona ndugu zangu mna tamaa 2much hadi mnaboaa! Yani ukiwa na uhusiano na a guy hata kama cyo wa mapenzi, unataka akulee. Sasa aliyesema huwa 2napenda kulea wa2 ambao c wake ze2 nani. Its ridiculous! M2 u jst want 2b ha friend anachowaza ni kukuomba vocha na pesa 2! We r ppo not atm machines!
 
Sasa aliyesema huwa 2napenda kulea wa2 ambao c wake ze2 nani.
Sasa dogo kama huna uwezo wakulea wengine zaidi ya mke wako si lea mke wako tu kelele za nini tena...Au unataka tukujuwe kama wewe ni kichaa :biggrin:
 
Let me remind you a friend in need is a friend indeed. Kama uhusiano wenu hauna namna yeyote ya benefit haina maana. Yaani tuwe tu tunalongalonga tu kila siku bila mpango.

Kwa kweli hiyo kitu siwezi fanya.
 
Naelewa kuwa mna mahitaji ambayo kidogo yamepita ye2.
Naelewa pia kuwa kila m2 anatakiwa awazie kwa maisha yake jinsi gani atakavyojipatia mahitajiyake.
Ila sasa naona ndugu zangu mna tamaa 2much hadi mnaboaa! Yani ukiwa na uhusiano na a guy hata kama cyo wa mapenzi, unataka akulee. Sasa aliyesema huwa 2napenda kulea wa2 ambao c wake ze2 nani. Its ridiculous! M2 u jst want 2b ha friend anachowaza ni kukuomba vocha na pesa 2! We r ppo not atm machines!

Tukusaidie nini sasa? Umetoka usingizini wewe!
 
so unaadmit huna cha kuoffer than sex na huhitaji chochote zaidi ya pesa. Sounds lyk ur a common hooker 2me
 
Let me remind you a friend in need is a friend indeed. Kama uhusiano wenu hauna namna yeyote ya benefit haina maana. Yaani tuwe tu tunalongalonga tu kila siku bila mpango.

Kwa kweli hiyo kitu siwezi fanya.
so unaadmit huna cha kuoffer than sex na huhitaji chochote zaidi ya pesa. Sounds lyk ur a common hooker 2me
 
Lol! Stop whinnin'.. Kama unahisi anakuomba favours sana all you gotta do is tell her straight!
Sasa if u'r pretending to be some "cash money brotha" kumbe hela ya budget then its ur own fault!
 
Kama ni kuombwa vocha tu nafkiri mie npo ktk top 5... khaaaa!
 
Back
Top Bottom