unaonaje ukisoma hii hapa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unaonaje ukisoma hii hapa!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MPAMBANAJI.COM, Feb 23, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  sometimz bana, you may find embarasng ur self when reading a T-shirt of ur fellow man reading"YOU ARE MY PRECIOUS FUTURE HUSBAND"
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kuna wengine hununua T-shirt bila kuzisoma zimeandikwa nini, na pia kuna wengine kwa sababu ya shule labda, wanasoma ila hawaelewi maana ya hayo yaliyoandikwa. Nafikiri wanahitaji kuelekezwa maana ya maneno yaliyochapishwa kwenye hizo T-shirt kwa wale watu walio karibu nao kuliko kuwaacha wakidhalilika pasipo kujijua!
   
Loading...