Mimba miezi nane bado unataka tuu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimba miezi nane bado unataka tuu??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kigarama, Feb 23, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mtu ana mimba ya miezi nane na ushee lakini bado tu anataka kunanihii na mumewe kisa eti kumdhibiti mumewe asitoke nje, hii imekaaje?
   
 2. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  miezi nane mbona bado sana??naona uwatakii wenzako mema
   
 3. JS

  JS JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa kwani kuna ubaya gani akitaka kufanya mapenzi na mumewe akiwa na mimba ya miezi nane? Kama hormones zinaruhusu mwache aendelee kupata vitu
   
 4. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kwa raha zake, kama anaiweza mitikigo why not? ampe mpaka siku ya mwisho mtoto akizaliwa kama kamwagiwa mtindi.
   
 5. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  tena km wanauwezo wa kufanya ,ndiyo inashauriwa kitaalamu wafanye hata mpaka siku anaingia labour ward kujifungua....medically haina madhara(ngono km tendo lenyewe lilivyo) zaidi inamsaidia mama kufanya mazoezi ya pumzi ,nyonga n.k n.k
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Unamtaka mumewe???
   
 7. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  C umwache ale raha na mumewe haina
  madhara hiyoooooooooooooooooooooooo
   
 8. Loreen

  Loreen Senior Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwachie sasa unataka aende nje?
   
 9. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mumewe? Wee kongosho usinitafutie BAN!!
   
 10. E

  ESAM JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Tena kwa kawaida unaweza kufanya tendo hilo mpaka siku yenyewe ya kujifungua haina shida kabisa, ila mara nyingi unakuta afya za wenzetu huwa hazirihusu kwa sababu ya uchovu na wengine huwa hawapendi kuwaona waume zao. Lakini kama afya ni barabara acha wafurahie ili mtoto azaliwe katika amzingira ya furaha na upendo
   
 11. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwani kuna TATIZO gani? Au unamwonea wivu?
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,666
  Likes Received: 82,492
  Trophy Points: 280
  Hapo nakupa 100 kwa 100 ni ukweli mtupu!
   
 13. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Acha utoto wewe hebu mwache mwenzio afanya mazoezi!
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  mwe mwe..............hongera!
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  mwanamke mwenye mimba anatoa hormone nyingi kuliko yule aliye normal....hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wataalamu...hivyo hakuna shida katika hilo
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mwache atanuliwe njia bhana.
  MAPROSOO.
   
 17. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hii nimependa sana!
  Na ikiwa ameenda kujifungua hispitali ya "Private", waombe wakunga wakuruhusu upate cha mwisho kabla huko huko labour kabla mtoto hajaanza pirika za kuja duniani.
   
 18. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Nashangaa!! Watu tunapiga show mpaka miezi 9 na wala haihusiani na kumdhibiti mume. Kama huna tatizo lolote na uko comfortable with it why not?
   
 19. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,107
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  anatelezeshaa njiaaa
   
 20. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Yupi sasa?
   
Loading...