Its My Wedding Annivesary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Its My Wedding Annivesary

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by RealMan, Feb 5, 2011.

 1. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Wana JF nimeona nisikae kimya bila kuwajuza wema wa Mungu kwangu.

  Najua wengine mtakuwa mmevaa kijani/njano kusherekea "chama chetu cha mapinduziiii chajenga nchi" (itikia ni wimbo) huku wengine (pengine) mmevaa nguo nyeusi kuashiria maombolezo kitaifa.

  Leo ninatimiza miaka 11 toka nimekula kiapo cha kuishi (kama mume na mke) na huyu mdada.
  Tulikutana 1994 na ndoa ikafungwa miaka 6 baadae
  Ndani ya miaka hii 11 Mungu kanijalia kuwa baba wa boy-10 na girl-7 na ukiwaangalia ni dhahiri hakunichakachua labda awe amechakachua na mdogo wangu, hahaahahaaa!!!

  Ni miaka ya kuishi na mwanamke ambaye alichukua nafasi ya mama na dada yangu katika maisha.

  Miaka 11 imenifundisha nisimwamini kila mtu ninaposigana na mke wangu. Nakumbuka in our early years niliwahi kushare na mchungaji juu ya tofauti zangu na mke wangu only for the pastor to use my story in his preaching the next sunday. Siku hizi nayasovu mwenyewe tu, no outsiders!

  Miaka 11 ya kutambua kwamba vitu vidogo sana (thanks, sorry, karibu, darling..) vinajenga uhusiano na vitu vidogo pia huwasha moto.

  Jamani wakati mwenzenu nashereheka 11 years kuna experience zipi (nzuri/mbaya/vituko) umewahi pitia kwenye mahusiano yako.

  Karibuni tuzungumze!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hongera Mkuu
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,994
  Likes Received: 23,891
  Trophy Points: 280
  Hongera mkuu.

  Mi nna aka 10 ya ndoa. Ikifika 14/10 ntaifikia rekodi yako...tuombe Mungu.

  Nlistuka kidogo ulivosema boy-10, girl 7....nikajua mzee una totoz 17! LOL

  Kila la heri mkuu
   
 4. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaaaa Totoz 17 sina ubavu huo

  Asante sana Mkuu. Miaka inavyokwenda muda si mrefu tutakaribishwa kutoa nasaha kwenye send off au harusi.

  Its just like yesterday!!!!!!
   
 5. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,375
  Likes Received: 3,207
  Trophy Points: 280
  Hongera mkuu mimi ndo kwanza nina miaka minne(4) ya ndoa lakini mambo yanakwenda sawa, Mungu jalia.

  Umenichekesha kwamba Mchungaji alitumia matatizo yako uliyomsimulia kama sehemu ya mahuburi Jpili iliyofuata. Lakini usijali pengine yaliokoa na kurekebisha wanandoa wengine.
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu hongera sana!
  ninamiaka kama 8 kukufikia mkuuu!
  HONGERA SANA MKUU!
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Hongera mkuu, miaka 11 ya ndoa sio kazi ndogo! Ni wazi utakuwa umepitia ups and downs nyingi sana. Nakutakieni maisha marefu na mafanikio zaidi katika ndoa yenu.
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hongera sana mkuu, Mungu azidi kukupigania na kuwatunza, Tuombee na sisi masingle tusije angukia mikononi mwa wanyanganyi!!
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Congratulations RealMan.....hapo si padogo wengi huwa hawafiki hapo

  kama ni gari basi tunaweza sema kwa sasa mpo comfortably kwenye overdrive, au kama ni ndege basi mpo kwenye Autopilot sehemu za kash kash zimeshapita

  Again keep it up
   
 10. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Safi sana mkuu, 4yrs si mchezo.

  Nilikuwa embarrassed kwa kufanya nionekane hakuna harmony kwenye ndoa.
  Later nikatambua baadhi ya wanawake hu-behave tofauti wanapokuwa na mimba.

  Ni kweli kabisa inawezekana wapo waliosaidika maana Mungu ana njia nyingi za kutusaidia binadamu.
   
 11. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Thanks!!!!!

  Wanasema hata kobe alifika kwenye safina ya Noah
   
 12. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Ups and Downs tumezipitia kwa kweli.

  Ujauzito wake wa kwanza was like hell to me, she was too moody.
  Kaka nimewahi kuamka saa 8 usiku nikatafute kuku wa kuchoma, mwanaume nikaingia mtaani!!
   
 13. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  May God grant the desires of your heart.

  Ni kweli siku hizi hujui binadamu ni yupi na nyang'au ni lipi.
   
 14. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Asante sana Kaizer!!

  Ukweli ni kwamba sasa tumefahamiana vya kutosha.
  I can predict her next move.. Kwa sasa tuko kwenye kipindi muhimu ambacho watoto wanajifunza kutoka kwetu.
  Its a moment unauhisi upendo ndani ya nyumba yako.

  Tuna kanuni moja ambayo hatuivunji siku zote "Dont Yell in front of Kids"
   
 15. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hongera na daima mdumu ktk ndoa yenu,
  Mh mi bado nachungulia nianzie mguu gani kuungana kwenye chama chenu, searching kidogo mkuu.
   
 16. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Asante mkuu!

  Ni maombi yetu pia kwamba ambao processor bado zinascan basi mpate the right partners.
  Adam na Eva wenyewe hawakuwa perfect ila walifanana.

  Kambi hii ni kutamu sana, mkielewana mnatengeneza paradise yenu hapa duniani lakini it can also be more than hell msipochanga karata vizuri.
  Changamoto zipo lakini thats what we were created for ili kukabiliana nazo!!!!!
   
 17. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  hongera sana mkuu na pole kwa masahibu uliokumbana nayo kwa muda huo wa miaka 11.
   
 18. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Asante JN,

  Masaibu ktk uhusiano hayakosekani lakini uzuri wake ni kwamba yanawa-bond kila mkiyashinda.
   
 19. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Funny Stuff:

  Moja ya funny stuff kwenye ndoa yangu ni pale Boy (now 10yrs) hakuweza kuniita baba until when he was 5yrs.

  Alikuwa akiniita "Dear" thinking ndio jina langu kwa vile mama yake hulitumia kuniita.
   
 20. M

  Msindima JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hongera sana mkuu.
  Sina mengi ya kusema maana
  mimi ndo kwanza nina miezi 8 kwenye hiyo club.
  Nawatakia siku njema.
   
Loading...