Loreen
Senior Member
- Dec 24, 2011
- 110
- 32
habarini wanajf, let asume wewe ni msichana ulianza uhusiano na kijana miaka 10 iliyopita means kwanzia secondary, wakati mnaanza urafiki alikulazimisha sana mnaniii ......lakini ukakataa ukiogopa ni dhambi,mlivyokuwa wakubwa zaidi namaanisha miaka 22 na kuendelea akakukumbusha tena kunanii ukakataa, mlipofika miaka 23,24,25 akasitisha kabisa kukwambia kuhusu kudo, na bado ni wapenzi,je kunamapenzi hapo? au ni chukua chako mapema?