Mwana JF aitwaye Kuberwa kuolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwana JF aitwaye Kuberwa kuolewa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ta Muganyizi, Jan 29, 2012.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanajamvi kama tusikitikavyo tukiondokewa na mwenzetu basi tusherekee pale mwana JF anapopata ubavu. Mwana JF mmoja aitwaye Kuberwa anatarajia kuolewa mapema mwaka huu so siku ya Arusi anataka support kutoka kwa JF members walau walioko karibu..........sasa sisi tulioko huku Kagera........masaka..........kampala.........mwanza. Tukutane tumpe support huyu great thinker hadi mumewe ajue kabisaaaa kuwa hajaoa kilaza. Kuberwa mwenyewe avatar yake hii hapa. Wanaotaka ageuke watamuona live. Nimepewa jukumu hili kama mwanakamati. Siku ya send off yake Kutakuwa na zawadi kutoka kwa JF members.

  Kuberwa
  [​IMG]
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Wakati wa zawadi Bukoba nzima itajua tu kuwa kundi la wana JF linaenda kutoa zawadi. Ila sasa baadae mtataka picha zake ......mie nitapiga za mgongo kama alivyojipiga hiyo ya kisogoni
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  halafu anaonekana kifaa kweli watu wanafaidi jamani...lol
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Nitonye hujatulia kabisaaaa.huyu ni dada yako tena hebu tujadiliane kuusu mchango wa zawadi ya wana JF
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Vitu vizuri kama hivi lazima visifiwe. Sasa vikao vimeshaanza kukaa au bado na kadi zinapatikana wapi?
   
 6. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Mwana vikao vinafanyika pale banana hotels kama ni kadi naomba uni Pm nikuelekeze pa kunipata kama uko Bukoba.......nikisema live hapa Rejao atanidaka
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo itafanyika huko huko Bukoba na ni kwenye ukumbi maalumu au ''ombitikililwa''
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Hahaahha...haya mkuu!!
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,305
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  vikao vinafanyikia wapi? omumwani au buyekera? tujuzane jamani.ninyenda akaramba waitu.
  ------- SONG ------
  Ugambecho kibero kueke..
  Ugambecho kitanda kushwele bojo. Mia
   
 10. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Kaka nu ukumbi maaalum "ombitikililwa" abantu mbaija kutela emibano watoto wa watu. Olateile omubano?
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Tatizo wewe hulalagi mama wa abayance
   
 12. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Kaka mchango wako muhimu
   
 13. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Yashwelwa umuisiki waitu
   
 14. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Omwana ashwelwe
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Shwaafi kabisaaaaaaaaaa!!

  Akajenge na yeye mji wake!
   
 16. k

  kisukari JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,563
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  hongera sana kuberwa.mume ana raha zake na karaha zake.wewe focus kwenye raha.ndoa utaiona tamu
   
 17. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Hahaa egiyo ndagiteile ubwisiki bwa kulinya mbwenda ekilima nka ki
   
 18. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Mkuu wewe ni noma,,,,,,,,,,,ekilima = ki giza giza ili wasione aibu
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  mwambie aingie atafute sticky thread kuhusu kitchen party wa ashadii kwa maandalizi na kuzaa kwa mpango kama afrodenzi alivyotueleza..

  kila la kheli bibie kuberwa
   
 20. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,015
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Mchango wapi mkuuu.
   
Loading...