Kutokushirikiana na mpenzi wako ktk masuala ya maendeleo ni dalili kutoaminiana?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
nauliza kwasababu mm mwenyewe nmeulizwa ila nmeona niwashilikishe na wana jf wenzangu,naomba michango yenu,kama haujaelewa ni ipo ivi,mfno ww mpz wako anakwambia kila anachokifanya may be amenunua nyumba amekwambia bt ww unafanya mambo yako kimyakimya haumshlikishi,mpaka aje kuckia kwa jirani au rafiki yako.
 
sio kutokumuamini tu...si chaguo lako,na wala huna plans za kujenga nae future kwahivyo kila ukifanyacho hakimuhusu!...#Hana sifa za kuwa mpenzi wako.
 
Sio kutokuaminiana tu bali hata upendo wenu unakuwa wa mashaka, haiwezekan kwa watu wanaopendana na kushirikiana kufanya shughuri za kimaendelea bila kutaarifiana na ikija kutokea jua mahusiano kati yao yanadosari
 
Inategemea na uhusiano wenu ndani kama unampenda mwenzi wako ni lazima mshirikishane kila kitu .Kwa sababu kuna leo na kesho ikitokea umelimbikiza mali nyingi na mwenzako hana taarifa nazo ghafla ukitwa mbele za haki itakuwaje ,mkeo na wanao watafaidika vipi kama we baba ulikuwa msiri ?
 
Back
Top Bottom