Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

long distance relationship kama wazungu wanavyoita hamna tofauti na mtu aliye single, so painful if u real in love,usiombe yakukute ndugu yangu,kwa wale wa wanaoishi bongo campan ni kubwa ya...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Hebu nikuulize wewe mwanamke. Je umewahi kumficha mumeo au mpenzi wako kitu chochote kuhusu maisha yako ya zamani au ya sasa? Je mumeo au mpenzi wako ameshawahi kukushangaza na siri ya mambo yake...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni mjadala mzito nnilikuwa na jamaa yangu mmoja ambaye anashughulikia hapa mambo ya Domestic Violence. Position zetu zilikuwa mbili tofauti moja ni kwamba huwezi kuwa survivor bila kuwa victims -...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Inafahamika kuwa siku hizi wanawake wengi wanafanya maamuzi kwa utashi wao.. tofauti na zamani....siku hizi wamewezeshwa na wanaweza...... wapo wanaotongoza wenyewe wanaume... wapo wanaotoka nje...
5 Reactions
79 Replies
5K Views
Ndugu zanguni wana JF; Leo nimeona niwaletee dokezo tu kwa mengi niliyochunguza juu ya mahusiano hasa ya mapenzi, uchumba na ndoa. Kichwa cha habari chahusika. Sababu ya kwanza ni KUTOKUJIAMINI...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
A way to a man's heart is through his stomach................. Kwa tafsiri yangu ya elimu ya ngumbaru ni kuwa ukiwa mpishi mzuri wa chakula, basi umewin moyo (mapenzi) wa mpenzi/mume wako...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hodi wanajukwaa, Kuna jamaa mmoja, umri 27 yrs, nahisi kachanganyikiwa na mapenzi. Historia yake inaonyesha amekuwa hurt na mpenzi wake wa kwanza. Baada ya kuachana na huyo mpenzi wake, akakutana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jamaa alimpenda demu akamtumia rafiki yake ili kuweka mambo sawa kweli yule rafiki akamsaidia kumtongozea rafiki yake jamaa wakaanza uhusiano. katikati ya uhusiano jamaa akarudi kwa yule rafiki wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, This is serious, dogo kaja mbio amechanganyikiwa... he loves siblings, na anvyohisi wote wanampenda na kama na wao hawaelewi wafanyeje, they are scared to ask him and he is scared kwani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Miezi saba baada ya kuvunjika kwa ndoa yake, tayari J.LO ana boyfriend mpya. This time ameamua kuchukua kabisa toyboy mwenye umri wa miaka 24. Toyboy tayari kesha move in to help out with the...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Jamani mie kla mpenzi huwanagombana nae hdi 2naachana, nn nifanye ili niendelee kumaintain love
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta mchumba wa kike mwenye sifa zifuatazo: 1.Awe na heshima 2. Awe mvumilivu 3. Mchapa kazi 4. Mwenye huruma 5. Awe mweupe wa wastani 6. Awe na mwili wenye ukubwa wa wastani 7. Awe na urefu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wengi tunapo fanya mambo yetu yale na watu ambao hatu waamini huwa tunatumia PSI. Lakini huku tukiwa tunakula lita za fluid. Ina maana hizo PSI tunavaa kwa mazoea au?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Eti wadau,kwa wale ambao mlikua na ma galfrds/boyfrds wakati mko vyuo vikuu,ivi baada ya kumaliza vyuo then kila mtu akawa mkoan kwao maisha yalikuaje,maana najua wengne hata ile jero ya kununua...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
unajisikiaje mvulana wako anakuambia kua siwezi kukupigania hata siku moja....... kwanini nife kwasababu yako wakati wasichana wako kibao...hapo kuna love kweli
4 Reactions
173 Replies
11K Views
Nipo stand isiyo rasmi ya basi.Ni kijijini. Natoka Tanganyika kuelekea Tanzania.Punde anasogea binti mdogo, kati ya umri wa darasa la saba na kidato cha kwanza. Nikiwa kijijini, sikujali kukata...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Jaman mimi nampenz wangu tunapendana sana tunazaidi ya mwaka na tumepanga kuoana lakin tatizo ni mamamkwe aliona sms zangu kwa mwanae sasa ni mlokole hanitak mimi ni muislamu lakn niko tayar...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Jana nilitoa tangazo katika safu hii. Jamani niko sirias. Leo narudia tena. Natafuta mchumba mwenye heshima,huruma, uvumilivu, mchapakazi, mweupe wa wastani, mwenye mwilli wenye ukubwa wa wastani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kufuatilia kwangu naona wanawake wanacheat sana kuliko wanaume sema watu wengi wanajua kama wanaume ndio wanacheat sana,,haionekani kama wanawake ndio wanacheat sana kwa sababu wanawake ni...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
mimi ni kijana wa kiume (23) natafuta mchumba dini yoyote.... kabila mchaga, awe amfika angalau form six........... umri awe na miaka 18-23...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom