Kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja na wakati umeolewa; ni tamaa au umalaya?

jompyain

Member
Feb 15, 2012
29
9
Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
 
swty hujambo ? Ulimalizana na yule tajiri mweusi ? Ajatoa ka advance bado ?
kanitosa yule offer zake mimi siziwezi bwana eti ujenzi hadi uzae je akifa njiani ameshajilia utamu hapa? aku babu.ngoja nisubirie wazabuni wengine
 
upo kaka changia mambo ya kidumu hapa
Unajua mambo mengine ni ya ajabu sana
Sijui ni tamaa au ni nini
Ila kuna siri nyingi sana zinafichwa na zile master bed room ambazo huwa hazitolewi nje na ndo zinazofanya mambo kama haya yatokee
Tamaa, kukutosheka na kile unachopata, ujinga na ulimbukeni tuu,au tabia na mazoea ya mtu yaani haachi asili yake
 
Hivi ukiwa umeolewa na una kidumu kimoja TU ni halali?
Smile mdogo wangu, nna mzabuni mmoja potential, hahesabii hela mfukoni kama Bucho ila nachaji 17% kama crdb. Tuonane basi
 
nadhani na hilo la wanaume kutowatosheleza wake zao linachangia.si unajua wanaume wa siku hz nasikia hadi kikombe?
 
Hivi ukiwa umeolewa na una kidumu kimoja TU ni halali?
Smile mdogo wangu, nna mzabuni mmoja potential, hahesabii hela mfukoni kama Bucho ila nachaji 17% kama crdb. Tuonane basi
ahaaa sister wangu wa ukweli umeamua kunifanyia marketing? offer yake ikoje?
 
QUOTE=Smile;3366875]nadhani na hilo la wanaume kutowatosheleza wake zao linachangia.si unajua wanaume wa siku hz nasikia hadi kikombe?[/QUOTE]
Hao sio wanaume bana ni wavulana hao hawajafikia kwenye uanaume
Mwanaume kazi yake ni kuhakikisha kazi anaifanya vyema wakati wote wa mwaka.
 
QUOTE=Smile;3366875]nadhani na hilo la wanaume kutowatosheleza wake zao linachangia.si unajua wanaume wa siku hz nasikia hadi kikombe?
Hao sio wanaume bana ni wavulana hao hawajafikia kwenye uanaume
Mwanaume kazi yake ni kuhakikisha kazi anaifanya vyema wakati wote wa mwaka.[/QUOTE]mwanamke zamani alikuwa anahudumia na mwanaume hadi anaweka chupi kichwani wiki nzima akimuona mwanaume anakimbia-source bibi yake judgment.sasa hv kila siku gem wapi? hadi kidumu kisaidie bwana
 
QUOTE=Smile;3366906]Hao sio wanaume bana ni wavulana hao hawajafikia kwenye uanaume
Mwanaume kazi yake ni kuhakikisha kazi anaifanya vyema wakati wote wa mwaka.[/QUOTE]mwanamke zamani alikuwa anahudumia na mwanaume hadi anaweka chupi kichwani wiki nzima akimuona mwanaume anakimbia-source bibi yake judgment.sasa hv kila siku gem wapi? hadi kidumu kisaidie bwana[/QUOTE]
Ndo maana nakuambia hao sio wanaume bana. Ni wavulana hao ambao wanajifunza
Wanaume wako wachache sana ambao kweli they are men in all categories na hawababaishi kwenye mambo na hawana haja ya kusaidiwa na vidumu
 
Back
Top Bottom