Hilii la ajabu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hilii la ajabu...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by B'REAL, Feb 23, 2012.

 1. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Mwanamama mmoja nchini Marekani anayefanya kazi mochuari ameingia matatani baada ya kupata uja uzito kwa kujamiiana na mtu aliyekufa. Mtandao wa habari wa dead serious news umesema tukio hilo linadhaniwa kutokea katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Mourning Glory, nje ya Lexington, Missouri.
  Polisi wa mjini humo wamemshtaki mama huyo aitwaye Felicity Marmaduke kwa kosa la kunajisi na kuchezea maiti. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na polisi, kiungo cha kiume cha mwili wa mtu aliyekufa kilihamasika wakati mwili ukioshwa. Taarifa zinasema, kwa kuwa mwanamama huyo alikuwa peke yake, aliamua kujamiiana na mwili huo.
  Kwa mshangao hata wa mwanamama huyo, maiti huyo alitoa mbegu za kiume. Wiki chache baadaye Bi Marmaduke alijikuta ni mja mzito. Baada ya kumwambia daktari wake mfululizo wa matukio, daktari huyo aliwataarifu polisi.
  Bi Marmaduke alikamatwa na polisi akiwa nyumabni kwake, si mbali sana na mochuari anayofanyia kazi. Katika tukio la kushangaza zaidi, mwanamama huyo amesema anapanga kudai urithi kutoka kwa familia ya mtu huyo aliyekufa.
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii kama niliwahi kuisoma hapo......
   
 3. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  If this is true, the world is really sick!
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hii niliisikia akiisoma dj fetty na kibonde pamoja na kayanda!!
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  duh....yaani mtu kafa na kasimaisha mashine?
  while wenzie wapo hai mpaka wanywe viagra kwanza duh..........
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  labda alimnyima akiwa mzima?
  alisimamishaje?
  daah wanaume mnasimamisha hadi kifoni?
   
 7. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dunia haiishiwi vituko
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ingetokea Middle East hiyo, pangekuwa hapatoshi humu.
   
 9. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  hapooo ndo nilipo shangaaa,lichaa ya kusimamaa na kumwagaa mbegu mkuu
   
 10. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  hii tabiaa ya waudumu wa mochwariii,ku fanyaa mapenzii na maitii ipo,ilaa hii case ndo ya kwanza kuisikia,palee moshi kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa zungu aka zeruzeru[sinaa mana mbaya ndo jina leke]alikuwaaa ana waduuu sanaa maitii za kikeee,watu walikuja kugundua maana wakija kusafisha maiti wanakutaa na mbegu za kiume,kote nyumaa na mbelee
   
 11. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  umeonaaaeeeee
   
 12. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  huyo zeruzeru wa mochwarii alikuwaa akimuitaa mwanadada mrembo akimdenguliaa ana mwambia we utakujaa 2 hapa haipiti mwezi anakufaa akipelekwaa machwarii..naskia anamwambia,siuliringaa ana mpaa dozii akiwaa wa motooo
   
 13. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  huu ni uongo na no one can prove this....hadithi za kusadikika hizi.
  ngoja niweke kwny lugha rahisi sana mechanism of erection.....pamoja na factors nyingi kuwepo(ambazo sizitaji makusudi ili kuifanya iwe rahisi) ili mtu asimamishe anahitaji damu iende ikajaze sponji sponji ya uume.na hiyo damu inabidi ipitie kwenye mishipa ya damu direct from the heart.....sasa basi mtu akifa nini kinatokea kwny damu? hiyo achana nayo kwanza ni ngumu pia....ila wote tunajua mtu akifa moyo unasimama kusukuma damu,kwa lugha nyepesi pia mzunguko wa damu nao unasimama mwili mzima....kwahiyo no pumping heart ,no blood circulation ,no blood to the penis,NO ERECTION ,NO COITUS.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Duh, kama ni kweli basi marehemu huwa nasikia
  Waweza zikwa kumbe unaona kila kitu
   
 15. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  MKUU umeongeaa sahii yawezekana jamaa alijob 100,wakazani amekufaa kumbee mzimaaa
   
 16. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  mkuu kwahiyo huyo mamaa alikuwa anajisingizia au?
   
 17. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  mimi sijafuatilia mkuu ila ni sawa nakusema maiti imeongea au imeendesha gari hapo....je ww unakubali?
   
 18. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Atakua alikufa ub** umesimama.
  MAPROSOO.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo mwanamke sijui ni mfuasi wa imani ipi?
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  huyu hawezi kufanya hayo mauzeuze......................

  [​IMG]
  DON'T do 'sexy'

  Much as I adore the wondrous, fabulousness of Cher both as a concept and as a reality, those quote marks are very much relevant to my point. Because I'm certain Cher's thought process (was there one?) in selecting this outfit involved the concept that a (I snigger as I type) sheer, embellished, be-tasselled belly-dancing costume with a (not seen) staggeringly enormous tribal-style headdress was just a little bit sexy. Or a lot? It must have been? She had some work done, she felt sexy and she wanted to get things out. Maybe? Oh I give up(1988)
   
Loading...