Avunja mahusiano kisa mimba kila mwezi

JosM

JF-Expert Member
Oct 11, 2008
679
17
Habari wana jf'mm n member mzuri sana wa hii rum ila cjawahi ku comment chochote coz najikuta nasoma 2 comm za wa2 na kurifresh mind! Ok' leo nimejikuta natinga kwenye uwanja.majuz nilienda kumpa hi my best ndani ya story akaniambia ameamua kuachana. Na rfk yake wa kiume coz anapata mimba every month.,then ku2mia kinga hawez anapata fangas.msaidien kwa hili yuko sawa???????
 
Habari wana jf'mm n member mzuri sana wa hii rum ila cjawahi ku comment chochote coz najikuta nasoma 2 comm za wa2 na kurifresh mind! Nimeamua nimuache kila mwez mimba nimechoka best"nimaneno ya rfk yangu ndan ya mastory hebu mpeni ushauri jaman about condom zinampa fangasiiii! Thx.
 
hahaaahhahahhhaaaaaaaaaaaaa

hivi mtoa mada mzima wewe?
Umeona ulichopost? Heading na maelezo(ambayo yapo nusu) havioani......

Lohhhhhh
 
Hizi bangi hizi!!!
sikupenda kuchangia ila ngoja nichangie wana jf msishangae hili ni zao la shule za chama cha Nape.......yaani zao la shule za Kata. hii sio akili ya mtu mzima....tena wengine wanavutia bangi mdomoni ila yy anavutia mkun,,uni.
 
Yani umerudia kuandika bado unaandika utumbo........ We endelea kusoma comment tu inatosha
 
Ulevi ni noumer jamani.

Nilikuwa stand by kusoma mkasa wa mimba kila mwez. Tusubiri labda atarudi kumalizia.
 
Kumradhi wanaJF kwa kuandika topic nusu, nimeirekebisha now tunaweza kuchangia mada.
 
Duh! Kama hawezi kutumia condom mwambie atumie rambo au jiandalie jeneza na bajeti ya mazishi yake kabisa
 
Habari wana jf'mm n member mzuri sana wa hii rum ila cjawahi ku comment chochote coz najikuta nasoma 2 comm za wa2 na kurifresh mind! Nimeamua nimuache kila mwez mimba nimechoka best"nimaneno ya rfk yangu ndan ya mastory hebu mpeni ushauri jaman about condom zinampa fangasiiii! Thx.

haina haja ya kuvunja uhusiano, mwambie aende hospitalini aondoe kizazi then kila kitu kitaenda sawa!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom