wanaume wanaofanya ngono nje ya ndoa kufa kwa ugonjwa wa moyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaume wanaofanya ngono nje ya ndoa kufa kwa ugonjwa wa moyo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwanajamii, Mar 6, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Un-vote

  [​IMG]
  Waume wanao-cheat, wako hatarini zaidi kufa na heart attack wakati wa ngono nje ya ndoa zao

  Wanaume wanao-cheat wake zao wana sababu nyingine ya kuhofu zaidi ya wasiwasi wa kubambwa na wake zao. Utafiti umeonyesha wana uwezekano mkubwa zaidi ya kufa kifo cha ghafla kwa ugonjwa wa moyo (heart atack) wakati wakifanya ngono ya usaliti (cheating sex).

  Ugunduzi huo umetoka katika ripoti iliyochapishwa na American Heart Association, wakati wakifanya uchunguzi kuona kama ni salama kwa wagonjwa waliopata matatizo ya moyo kuanza ngono baada ya matibabu.

  Utafiti umegundua wagonjwa wnaweza kuanza ngono wiki moja baada ya heart attack, al muradi wanaweza kupanda ngazi kadhaa bila tatizo au kujisikia vibaya.

  Tahadhari kwa waume: ngono nje ya ndoa yako (cheating) inaongeza shinikizo zaidi kwenye moyo wako kuliko kawaida
  Moja ya vitu vilivyogundulika wakati wa utafiti huo viliwashangaza watu. Iligundulika kuwa hatari ya kukumbwa na kifo cha ghafla wakati wa ngono inaongezeka wakati wa ngono ya usaliti kwa wanaume waliooa na kusaliti wake zao.

  Hii ni kwa sababu ni mara nyingi na wanawake wanaume hao wana-cheat na wanawake vijana zaidi katika mazingira wasioyazoea au yasiyo ya kawaida ili kuepuka kubambwa, kitu ambacho kinaongeza stress.

  wanasayansi, wakiongozwa na Profesa Glenn Levine, kutoka Baylor College of Medicine ya Houston Texas, alisema autopsy(upimaji wa chanzo cha kifo kwa maiti) zimeonyesha kuwa katika vifo vya ghafla vilivyotokea wakati wa ngono, asilimia 93 ya vifo hivyo vilitokea wakati ya ngono ya usaliti.

  Ripoti hiyo imeshauri madaktari walazimike kuzungumzia ngono na hatari zake kwa wagonjwa wa moyo sababu imeonyesha ni wagonjwa wachache sana wanaoelewa athari hizo.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hii sasa noma
   
 3. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  kwanini ni noma?
   
 4. M

  MAPINDUZI75 Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwa Wazungu tu, Afrika mfumo dume!!
   
 5. Mr Ngoma

  Mr Ngoma Senior Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Kwa weupe nakubali ila kwa wabongo nooo. Sisi twafa sana na maleria, ajali za boda boda plus kale kaugonjwa ka chumvini.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Basi 95% ya wanaume wa JF hatutakuwa nao baada ya muda mfupi!...huh!
  IN CASE, then RIP my 95% friends!
   
 7. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Watu wamekimbia.Sredi yenyewe ni ugonjwa moyo tosha
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  mKUU,
  Hii ripoti si User-Friendly kabisaaaaa!...watu wanasoma kama guests, na wanasepa bila neno!...huh!
   
 9. wasaimon

  wasaimon R I P

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora wametoa tahadhari..
   
 10. unejoune

  unejoune Senior Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kazi ipo!!!!
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,420
  Trophy Points: 280
  hako ka picha hapo bana
   
 12. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #12
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Hehe usikute hata ujumbe hujausoma umeangalia picha tu..
   
 13. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kama hii ishu ni kweli, nawambia hata viongozi wetu wa dini tutawapoteza, Loh!
   
 14. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #14
  Mar 6, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wanakimbia sababu sredi yenyewe inawapa hatiataki sasa wakisoma ndio kabisa wote watakufa
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,503
  Trophy Points: 280
  ODM inclusive!
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,503
  Trophy Points: 280
  Wanawake mtabaki peke yenu...... magunzi yatawakoma!
   
 17. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #17
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahahahaha RIP PJ,
   
 18. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #18
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  khaaa babu mpaka weewe?RIP incase,
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  wanaume mpooo?
  mmesikia maneno hayo?
  shaurizenuuuuuuu..........
   
 20. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mimi nilifikiri ni hivi hivi kumbe ni kwawale wenye magonjwa ya moyo na stress kumbe mana ikiwa hivyo ni sawa wenye magonjwa ya moyo na wenye stress kama ni hivyo utafiti upo sawa kabisa ha,ha,ha,ha,aha,aaaa ila si jambo la mzaha
   
Loading...