Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimemiti na rafiki yangu wa humu lakin daah

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mankaa, Mar 5, 2012.

 1. M

  Mankaa Senior Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana jr..i hope mnaendelea vyema na ujenz wa Taifa

  jaman me nmekuja hapa cjui nielezee vipi lakini kikubwa ni kuwa nimemiti na rafiki yangu wa humu jamii forums ni HB alafu kuna vitu flan flan nmevipenda kwake alafu ni mchesh mby kitu ambacho ndo nmevutiwa nacho saana na kwa ujumla binafsi nimevutiwa nae sana tumepeana kampany sana tuu na nliinjoy sana naye pia kaonyesha kunpenda na kwa jinsi nnlivyomsoma hana girl ambae amejicomit kwake kikubwa kinachotaka kujitokeza ni kuwa najifill nataka kumpenda sana ukizingatia me teyar nna Boyfrind
  wapendwa nishaurini nifanyaje nsije nkalikoroga kwa mpenz wang
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  usitukane misitu kwa ajili ya mti mmoja
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  manka utasababisha wadadaz wengine nao waanza kutamani ku meet na mimi.
   
 4. M

  Miriamemmanuel Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usitupe chembachao kwa msala upitao. Fikiria mara mbili maamuzi yako usije kujilaumu wewe mtu umemuona siku moja umejuaje kama ni mwema kwako mimi sikushauri endelea na urafiki tu. Tena anaweza kuwa rafiki mwema kuliko mkiwa wapenzi.
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  tangu tulivyomit nilikwambia moyo wangu umekudondokea.
   
 6. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Nyimbo ya taifa haichezwi disco,cku moja2 ushatamani kumbwaga boyfrnd wako?kwahlo cna iman tena na mpnz wngu kumbe wanawake ndo mlvo?
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unaweza share nasi sababu za wewe kumeet na huyo wa JF
   
 8. M

  Mankaa Senior Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mhm naona wameshaanza kuonyesha dalili lakin km vipi wapotezee bna
   
 9. m

  mwanawasi Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wazuri wapo wengi,utajikuta unarukaruka kama kitenesi..sikia kengele ngrrrrrrr...tulia na wa kwako.!!unaweza kumfanya awe vile upendavyo,dont focus much on ready made coz there is cost behind...
   
 10. M

  Mankaa Senior Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alokwambia keshataman kumbwaga byfrnd nani kama huna iman na mpnz wako bas hujiamini
   
 11. M

  Mankaa Senior Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mhm soma maaelezo yangu vizuri hujanielewa
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  naona unanunua bifu kutoka kwa manka wazi wazi ..
   
 13. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  We muache ateme big G kwa karanga za kuonjeshwa
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  mwambie huyo ..wewe si upo single jama
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,620
  Trophy Points: 280
  du watu mna vijimaneno hadi basi
   
 16. M

  Mankaa Senior Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sante kwa ushauri mzuri
   
 17. bht

  bht JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  better the devil you know than the angel you dont know...
   
 18. M

  Mankaa Senior Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vijimano kama vijimaneno yan mtu kitu kdg tuu basi wanaenda mbaal sa kuvutiwa na rafiki kwan ni isue
   
 19. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  He he Saint..Yeah right:))))
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  jamaa ana bahati kweli, kamiti na wewe mkainjoi dah!. natamani ungemiti nami aisee.
   
Loading...