Good things are always free | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Good things are always free

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by edcv, Mar 4, 2012.

 1. edcv

  edcv Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimesikia sana usemi huu 'free is expensive' binafsi sijaufuatilia sana ila kwa uzoefu wangu huohuo mdogo nimeona kuna kaukweli. Ila sasa nikiangalia maisha yangu naona kama Mungu, wazazi, ndugu na marafiki wamenipa vingi sana vya bure ambavyo ndio haswa msingi wa maisha yangu. Kwa sababu hiyo nikiangali jinsi baadhi ya hawa walivyoteseka ili mimi nipate hivyo vitu, naamini kwamba Mungu ndiye ambaye anafanya tuweze kula kesho pamoja na kwamba tunaamini fedha zetu ndo kila kitu. Huwa najitahidi sana kuuendeleza huu msemo wa "Good things are always free". Sasa swali langu kwenu wanajamii, Ni kwanini mtu anafanya ngono, na kuanzia anaanza mpaka anamaliza yuko na akili zake. Mwanamke anapata mimba- wanasema ilikuwa accident kwa hiyo tuitoe. Kwa nini mtoto ndio alipe uzembe wenu kwa maisha yake? Na sisi wanajamii tunawashauri bila hata kuogopa dhamiri zetu zinavyotukataza! Why do we embrace these bloodthirsty murderers?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  dunia imejaa contradictions in general
  lakini ukispecify a certain situation, huu msemo una maana yake.

  'Haraka haraka haina baraka'

  afu unaambiwa tena

  'ngoja ngoja huumiza matumbo'
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Say NO to abortion.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Dont' tell me this is not taking a human life.
  Don't tell me this is not murder, that this is not wrong.
  Don't tell me that you had the "right" and the "choice" to do this.
  Let's face the ugly facts, grow up, and STOP THE SELFISHNESS, the DISCRIMINATION, the HATE!
  End abortion!

  [​IMG]
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu speaker umeenda mbali sana!
   
Loading...