jf kitarget zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jf kitarget zaidi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Vaislay, Mar 6, 2012.

 1. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,511
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  habari zenu wanajf...nipo hapa leo kusema kinachonisibu na jf membaz wenzangu.....kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushirikiano tulionao wana jf kwa siku zote hizi na pia nashukuru kwa Pm's zenu kwa wale wanaonipm na ninao wapm,wengi sana majf memba huwa wanafikiri mimi ni mwanaume.....kwahiyo basi inaonekana wadada sie wajf japo si wote tupo kitarget zaidi hasa ya kimapenzi.

  Nimekuwa nikipata mesej nyingi sana mpaka hivi karibuni mpendwa dadangu mmoja baada ya kumwambia sorry mimi ni dada akawa mbishi sana kuamini nashukuru atlast akanambia "sorry i thought your a boy" i need a guy.....sasa ndugu zanguni tatizo ni nini?hata kama kuna mapenzi ya mtandaon basi twende kistyle na sio kirahis km hv:photo:..samahani kwa nitakao kuwa nimewakwaza zaidi nadhan upeo wangu ni huu na pia nitakuwa nimewajuza kwa wale wanaodhan mimi ni he.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,527
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhhhhhhh
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,258
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  hiiihihihhih

  hebu wadada mukuje hapa... Ni kweli mnarusha ndoanozenu huko ulimwengu wa pm?
   
 4. d

  dav22 JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,905
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  he he he he he he he he he
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ah!! Vaisley nawee..... Dah! will be back bana....
   
 6. d

  dav22 JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,905
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ha ha ha ha ha ha kumbe ndo mpango wa PM hivo??
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,275
  Likes Received: 1,980
  Trophy Points: 280
  Nadhani labda ID angalau zingekuwa zozote lakini zizingatie jinsia,ili kuondoa mikanganyiko. Ni mtazamo tu!
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Naona unajipigia promo..
  Hongera, tumeshakufahamu wewe ni she na wala siyo he!!
   
 9. Rada

  Rada Senior Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwa hiyo unamaanisha unataka pm za wanaume sasa!
   
 10. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 646
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mmmmm Sidhani kama wewe ni Mwanaume au inawezekana ukawa wa kiume! Wanaume wako bussy na mambo muhimu na tena wanaheshimu hisia za watu na kamwe hawawezi kuanika hisia za watu hadharani (huzitunza moyoni na kuzitafakari) kama ulivyofanya if at all what u are saying is true.
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Vaislay hapa una maanisha or upo kitarget zaidi? Hofu yangu ni kama vile unautoa ujumbe indirect. I mean "u need a guy"
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,748
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Duh! Ya kweli hayo?
   
 13. Wonder Woman

  Wonder Woman Senior Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahha. Ridhiki popote bana. Acha watu wajaribu bahati yao.
   
 14. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Aiseee
   
 15. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Umefanya vzr kuliweka wazi, na pia akina kaka wenye ID zinazofanana na za akina dada ni vzr na nyie mjiweke wazi msije mkachumbiwa na wanaume wenzenu!
   
Loading...