Tabia ya wasichana kutuchomesha mahindi wavulana inaboa sana.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Unakuta mtu umepanga kukutana na galfrnd wako,let say saa 8 mchana,anajikawiza hadi inafka saa 12jion,afu ndo anakuambia,''unajua nin honey,mumy alinipa kazi flan,yan ndo nimeimalza saa hz,afu nahis nimechoka,hata kutembea siwezi,tuonane siku nyngne mpz,love u'' muda huo unakua ushatuma crdts za kutosha afu ndo unaambiwa vitu ka hvo.sio mpango dada zetu,tunaharbiana ratiba bana.
 
kusoma hujui hata picha huwezi kuangalia?..yupo mwenzio anaitwa mum.. Na anamchosha vipi?
 
Masaa manne umegandishwa!!! Wakati huo wote unakuwa conscious kweli?
 
kwanini na ww hujamjibu kua afazali hukuja mana kuna shemeji yangu kaja home na rafiki yake basi ni full burudani nikawa nimekutumia text kua tutaonana wiki ijayo kumbe haikukufikia sorry......ila kwakua umechoka nakuelewa mpz wangu wacha ss twende dinner party...byeeeeeeeeeeeee
uone ka hajazimia huko aliko mana kukuambia ww ivo ni ili uumie sasa ww ndio unaua mzizi wa fitina kwa kumtumia text ya upole maneno yake ka bomu la nyukilia tuone ka hajakutafuta yy na michozi kibao inamtoka
 
Hivi mapenzi hayo ya kusubiliana bado yapo? Ndo maana mimi kidume huwa sina demu mmoja maana najua nitakufa na presha! Yap ilisha nitokea pia ila mimi nikamjibu aaah wala usihangaike dear niko party na rafiki yangu utanijulisha siku ukipata mda. After two minutes akanipigia simu uko sehemu gani? Nakuja nilikua nakutania nione kama utakasirika.
 
aisee,hiyo mbinu nitaicopy mkuu.
 
kwa hiyo bado uko nae hadi leo au?
 
Kwa kweli inakera.. Sema senetor uache kutorosha watoto wa watu.. Nenda ukajitambulishe kama mkwe rasmi ukitaka kutoka nae hawezi leta visingizio vya "mumy kanituma!"
 
duh mkuu umenigusa direct,mi mwenywe leo nimechomeshwa mahindi ka gunia moja hivi pale morocco hahaha
 
duh mkuu umenigusa direct,mi mwenywe leo nimechomeshwa mahindi ka gunia moja hivi pale morocco hahaha,lazima nije nisawazishe tu oneday
 
kwanini na ww hujamjibu kua afazali hukuja mana kuna shemeji yangu kaja home na rafiki yake basi ni full burudani nikawa nimekutumia text kua tutaonana wiki ijayo kumbe haikukufikia sorry......ila kwakua umechoka nakuelewa mpz wangu wacha ss twende dinner party...byeeeeeeeeeeeee
uone ka hajazimia huko aliko mana kukuambia ww ivo ni ili uumie sasa ww ndio unaua mzizi wa fitina kwa kumtumia text ya upole maneno yake ka bomu la nyukilia tuone ka hajakutafuta yy na michozi kibao inamtoka
Watu wataalam mbaya
Yaani hii ni copy and paste
Duh balaa
w
 
duh mkuu umenigusa direct,mi mwenywe leo nimechomeshwa mahindi ka gunia moja hivi pale morocco hahaha

Mkuu na wewe ulikuwa unayaangalia yanavyoungua aise
Yaani nusu saa kwangu ni issue
Sababu za sijui foleni sijui nimechelewa wapi imekula kwake
Sitakuwa na huo muda tena
 
kwanini na ww hujamjibu kua afazali hukuja mana kuna shemeji yangu kaja home na rafiki yake basi ni full burudani nikawa nimekutumia text kua tutaonana wiki ijayo kumbe haikukufikia sorry......ila kwakua umechoka nakuelewa mpz wangu wacha ss twende dinner party...byeeeeeeeeeeeee
uone ka hajazimia huko aliko mana kukuambia ww ivo ni ili uumie sasa ww ndio unaua mzizi wa fitina kwa kumtumia text ya upole maneno yake ka bomu la nyukilia tuone ka hajakutafuta yy na michozi kibao inamtoka

Duuu nimekukubali.. Ila huo ushauri wako unaenda kujaribiwa kwa mwanamke mwenzako utaua mtu pressure hukoo
 
anakurembea yy nani khaaa!
piga chin choose anaza one .........au mpotezee ka wiki uone ubize utaisha na atakutafuta daily kwa hofu kubwa ya kukupoteza
 
kwa hiyo bado uko nae hadi leo au?

aaah mie hao sikai kuwaliza! Mie huwa nakaa na demu ambae ni mkweli na anaeenda na mda! Yani mie nipigishwe jua then nimvumilie? Mie huwa nawaacha bar wanalipa wenyewe.......
 
usikute mmepangwa vidume kibao, na hapo alikuwa ametoka na mwingine... hiyo ya mum kumpa kazi ni fix tu
 
Back
Top Bottom