Why always me? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why always me?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ruppy karenston, Mar 4, 2012.

 1. R

  Ruppy karenston JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wakuu,

  Nimepatwa na matatizo mpaka najihisi na mikosi.Kila siku ni mimi tu wa kulia, ni mimi tu wa kuwa mpweke nimechoka nimeamua nije kwenu mnishauri.

  Napenda sana kuwa na mtu anaenipenda kwa dhati kabisa lakini wengi wao huwa wananitamani tu,.
  Ni lini nitapata atakaenipenda? Ni kwanini niumie kiasi hiki? Kwani nina kasoro gani?

  Nilikuwa na mpenzi wangu,na nilimuamini sana na tuliweka mpaka plans za ndoa i just found out last month he's gat a family somewhere na alikuwa ananipotezea muda.

  Am writing this with tears down my cheeks,, where have i gone wrong? Why is it always me? Dont i deserve to be happy?7
  Somebody tell me something please.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wewe ni he/she?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  pole binti!
  Matattizo hayakuumbiwa kwenda kwenye miti, ni binadamu.

  Pumzika kwa muda kwanza.
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwanza acha kulia, rejoice kwa vile umegundua kabla hujafika mbali. Mapenzi ni emotion, it comes and goes, hasa kama utaamua. Going forward jifunze kujipenda, jipende sana ili watakao kupenda wakute high standard. Waoneshe mfano.
  Kwa nini usifate ushahuri wa Kongosho? Take your time, learn to love yourself for few month, hata mwaka ikibidi and then allow yourself to love somebody else again.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa ni kuwa wewe ni mzuri sana wa sura na umbo, na wazuri wa aina hiyo mara nyingi huwa wanatamaniwa tu. Hata mke wa mtu akiwa mzuri wa aina hiyo hutamaniwa.

  The point is, kabla hujatamaniwa hutopendwa, kwa hiyo kutamaniwa kwako ni advantage kwako na si disadvantage, ukitaka ushauri zaidi ni pm.
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  pole,hao viumbe ndivyo walivyo.kwanza jipende wewe mwenyewe,na hayo machozi yako yathamini,usimlilie huyo tapeli.jipe muda,time is a healer.ipo siku utajiuliza,hivi ilikuwaje nikalia kwa sababu ya yule mtu?ji keep busy na maisha yako,ipo siku utapata wako tu.
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mzuri unamjua ?
  Umemuona ?
  Ukimkuta Mwl. Anatoa alama za mtihani hata paper test hajaiona utamuelewaje ?
  Kwamba kalewa ?
  Ana majini ?
  Ukimkuta fundi anabandika kiraka cha kitambaa cha khanga kwenye Jeans utamuelewaje ?
  Kama hamdanganyi mteja ?
  Unfair play by the way.
  Spendi. NOTE : Sorry nimemissplace pakuiweka hii , hapa namjibu ZOMBA.
   
 8. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,177
  Likes Received: 1,178
  Trophy Points: 280
  Mkuu, zomba atakuwa anatongoza na hiyo ni gia yake, angalia alivo itimisha.
   
 9. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  huo ndio ukweli
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Baby gal, unaweza kuwa na maisha ya furaha ukibadili angle ya kuangalia kitu. Ushauri ni mmoja tu, unapenda wakati wenzio wanakutamani.

  Sina hakika unafanyaje, ila kama unavua naniliu wiki baada ya kukutana na mtu ndo yanakupata haya. Hebu achana na kuwa desperate kuolewa ama kupendwa.

  Jipende na kuwa very selfish! Akikutokea mtu muambie nataka kuchukua muda kukujua, akisema ana haraka mpishe apite. Kuwa rafiki na mkaka kwa miezi 6 na muweke palee, no sex no nothing hadi umjue sawasawa.
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  I live emotionless na viumbe hawa wa kiume.
   
 12. marida

  marida Senior Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuwa makini sana na hawa viumbe ruppy,the only think i kan advice u,i think its almost done by other members,ukiwa na mvulana usijaribu kumruhus kusex na wewe mapema,have ur own commands before having sex. Wengi watakutaman kwa ajil ya uzur ulio nao,but ni bora uishi peke yako kuliko kila siku kuumia,hao wanaokuumiza c uliopangiwa awe wako, wa kwako wa kukupenda kwa dhati hujampata.have time to love ur self..

  Go out and chill with ur galfnds..life goes,later utashangaa u got the perfect man for ur life...wengi watasema unaringa,unajivuna,but if its advantageous to you,usimsikilize mtu.Pia mchunguze huyo mpenz utae mpata,anabak ground ipi?anapenda gals sana?okey,they say,past is past,je ameachana nao hao gals kama alikwambia anakupenda?

  if yes,be friends,be bestfriend,lastly couples,mwishon mnamalizia kwa kuwa fiance.siyo umetongozwa leo,kesho outing,kesho kutwa u go to sleep in a hotel..thats not love my dia..have time ya kumsoma mtu.as i said usiwaze sana kuolewa..muda ukifika no matter wat u wil get married dia...those who kams and go,are not meant to be urz.
   
 13. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Maisha mafupi sana dada, usilie kwa ajili ya mtu aliyeshindwa kuthamini penzi lako kwake. Pengine hata hajui km unalia. Furahia maisha yako mwenyewe kwanza, mambo ya wanaume weka kando. The perfect one wil come at right time. Jipe mda.
   
 14. S

  SI unit JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Emotionless? Are you biologicaly perfect?
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Yeye ni SHE.
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tatizo lako haupo makini katika selection then yaelekea wewe unapenda tuzawadi zawadi thats why ukaibukia kwa mume wa mtu! Pole sana!
   
 17. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kwanini, si kuamua tu. Ukianza kuweka emotion ndio mastress kama haya yanatokea.
   
 18. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hakuna mtu ana mkosi duniani jaribu kila siku kuwa una think in positive way, kuanza kusema una mkosi hapo ndo mungu anazidi kukupa unacho kiomba, mana unajitia mwenyewe mkosi kwa kusema una mkosi.

  Afu mbona mnakuwa wagumu kuelewa mpaka leo, kupenda na kupendwa ni vitu viwili tofauti kabisa.

  Sio kila ukipendacho wewe kikupende nachenyewe, na mtu mpaa apende sidhani ni nyimbo au mashairi.

  Nashangaa kuona mtu kapenda mtu hamjui back ground yake afu anakuja kusema kadanganywa, kweli kupenda kitu usicho kijua ni kama usiku wa giza.

  Usijali babe girl, wazungu wana kamsemo kanasema; We have to be willing to feel frustration as much as we feel fantastic.
   
 19. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kwanini, si kuamua tu. Ukianza kuweka emotions ndio mastress kama haya yanaanza
   
 20. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapa tosha kabisa, kila mtu lazima ajipende nafsi yake kabla hajapenda wengine :poa
   
Loading...