natafuta mchumba.

maege

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
309
73
msichana mwenyeji wa mkoa wa ruvuma
Elimu form 6+
Umri asizidi miaka 23.
Mwenye sifa aniPM please nimpe taarifa zangu.
 
wewe ndo msichana au unatafuta msichana?. Mbona hujiamini bana. wewe hujafikia umri wa kuoa. kwanini usijitambulishe kikamilifu bana? au unataka kuchezea dada zetu. hebu taja sifa zako sasa.
 
wewe ndo msichana au unatafuta msichana?. Mbona hujiamini bana. wewe hujafikia umri wa kuoa. kwanini usijitambulishe kikamilifu bana? au unataka kuchezea dada zetu. hebu taja sifa zako sasa.

Kweli we2 dubu. Hata kusoma haujui. Neno la kwanza kwenye maelezo yangu nimesemaje

Haya kwa faida ya wasiomakini kama wewe!
mi ni mwanaume miaka 26, elimu degree commerce, sina ajia ila nina kazi... Info nyingine atapewa mwenye sifa nilizozitaja.
 
Eeh kwa hiyo umekuja huku ndo umesikia kuna store ya wachumba?Nenda Fb ndo utaona na picha zao wamejibunua binua!
 
Miaka 23 mbona tangazo limekosea njia, elekea mitaa ya facebook. Na wale mliokuwa mkicheza nao mechi za mchangani wametokomea wapi? Pia kwa umri huo tembelea zaidi mitaa ya shule kama Fataki
 
Kweli we2 dubu. Hata kusoma haujui. Neno la kwanza kwenye maelezo yangu nimesemaje

Haya kwa faida ya wasiomakini kama wewe!
mi ni mwanaume miaka 26, elimu degree commerce, sina ajia ila nina kazi... Info nyingine atapewa mwenye sifa nilizozitaja.

hapo nmekuwelewa. hapa jf hakuna wachumba. Ondoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom