mi mi la kusema sina.wana jf semeni wenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mi mi la kusema sina.wana jf semeni wenyewe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smile, Mar 5, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160

  sio mimi smile
  Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,
  nilimaliza form four miaka kadhaa iliyopita kwa bahati mbaya sikuweza kufaulu kuendelea na kidato cha 5,
  nilipata division four ya mwisho
  i have to admit uwezo wangu ulikuwa mdogo darasani,
  nikakaa one year home bila issue yoyote
  baadaye kaka yangu ambaye alikuwa chuo mwaka wa 2 akaniambia amenitafutia cheti cha mtu niingie chuo,
  kweli akanitafutia nafasi CBE nikaanza kusoma certificate ya accounts kwa kutumia cheti cha huyo dada ambaye nilikuwa simjui later nilikuja kufahamu kumbe alikuwa girlfriend wake,

  basi nikamaliza certificate, nikasoma diploma, mpaka advance diploma,
  wakati niko Advance diploma mwaka wa mwisho kakangu akaoa
  lakini hakumuoa yule girlfriend wake nayemjua mimi na ambaye natumia cheti chake
  akamuoa dada mwingine tofauti,
  kwakweli mpaka leo sijui kwanini hakumuoa yule dada na siwezi kumuuliza,
  basi yule dada alikasirika sana na akaninyang'anya cheti chake
  yeye wakati huo alikuwa mwaka wa mwisho Institute of Accountancy Arusha,
  kwakweli nilichanganyikiwa ila sikujua kama impact yake itakuja kuwa kubwa hivi
  , nilipomaliza chuo nikapata kazi shirika moja Arusha
  sasa hapo ndo mchezo ulipobadilika after 6 months wakaniambia nipeleke original certificates zangu,
  Duuh nilidata nikampigia kaka simu akaniambia omba likizo njoo Dar tudiscuss nikarudi tukahauriana nikaamua niache kazi maana ntapeleka vyeti gani wakati cheti cha form four sina.
  nikakaa home kama one year my cousin sister akanifanyia mpango nikapata cheti cha kuchonga mtaani akanitafutia kazi Bank moja hapa Dar,

  nikaanza kufanya kazi sijafikisha hata mwaka last month nikaitwa HR naambiwa nisubmit my original certificates, nikasema ni nini tena hiki, basi nikapeleka kile cheti cha kuchonga na vile vingine original vya chuo but natumia jina la yule dada, after a week nikasimamishwa kazi ili kupisha investigation nikaambiwa nimeforge vyeti na mimi sio mwenye hvyo vyeti,

  as am speaking to you am just home sijui la kufanya, naona kama kakangu ameniponza ningejua ningerisit by then imagine vyeti vyangu vyote vya chuo vina jina la huyo dada,

  naomba mnielewe wakati huo nilikuwa mdogo sikujua impact ya kutumia cheti cha mtu but i think my brother did so msinihukumu kwa hilo, nimepoteza 6yrs kusoma with all my effrots amd energy na nilijitahidi sana nikapata lower second na sikuwahi kusupp,

  i have i feeling huyu dada ananifatilia kila napoenda na kuniharibia,

  hivi naanzia wapi jamani, nirudi tena kurisit form four, naona siwezi that means another 7 yrs za kurudi shule by then ntakuwa na 32yrs ntazeekea shule jamani,

  yani sijui hata la kufanya nawaza mpaka nafika mwisho, naishia kulia sipati hata usingizi.

  ndugu zangu wananishauri nirudi shule nianze moja but nahisi siwezi kusoma tena, naombeni mnishauri labda naweza pata options hapa ambazo hazitahitaji kutumia muda mwingi

  Its me a frustrated lady
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  lakini mimi naona alivofanya huyo mdada mwenye vyeti ni sawa .hata mimi ningefanya hivohivo
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Duh! Hapa pazito.. Inabidi awe entrepreneur sasa. Aachane na mawazo ya kuajiriwa tena. Ila nashangaa, kama mtu ana uwezo mzuri kazini kwanini hayo makarasi yawe ni issue kiasi hicho!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kwani ulivyotoa ulitegemea mambo yangekuwa vipi?
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Iwekee aya basi hiyo stori yako ipate kusomeka vizuri maana sasa hivi text yote iko single spaced bila mgawanyo wa aya na haivutii kusoma.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ushauri wa hapa utapeleka kuleeee . . . Au itakuwaje?
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi nimecopy tu na kupaste kaka
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  atausoma mwenyewe huku.hili balaa lizzy
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hata kama umefanya hivyo, bado unaweza ukaiweka vizuri ipate angalau kumvutia msomaji. Au hauwezi kufanya hivyo?
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama anaingiaga humu kwanini hakuleta tatizo humu? Labda aliona ushauri wa huku sio anaoutaka. . .atakumaind mwenyewe!!
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  angekuwa wifi
   
 12. d

  dandabo JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  pole smile! Una options chache. Uamue kurudi shule au ukae na huyo dada ili cku ya ku-submit original akuazime tena, otherwise amua kuwa mjasiriamali.
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sio mimi bwana toka o level nina one mimi
   
 14. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  sometimes tatizo lipo kwenye system yetu.. kama mtu anauwezo wa kufanya kazi vizuri kabisa stil unafatilia vyeti vya kazi gani.!? matokeo yake ndo kupata mafisadi yaliyosoma..
  bak to the topic, hamna kurudi nyuma talk na huyo mdada mmalizane vizuri ka ye ndo huwa anakualibia if not huwe unawapoza mabosi wako ata kwa ten percent ya salary, hope hawatakua wanoko tena.!!
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Duu..Hiyo ngoma kali.Lakn mie namshauri arudie tu kusoma.Siku hizi o level na A level kwa watu amabao wako kazini ni miaka 2 au mmoja nadhani unamaliza na kupata cheti.Hiyo tayari ni dosari itamfanya maisha yake yote aishi na guilty.
  Mwambie arudi chuo kusoma yaliyopita si ndwele....hakuna uzee kwenye elimu labda kwenye kuzaa na familia.Kuna watu wana 40 ndo wanashtukia shule ya maana nini miaka 25?????Na jambo zuri zaidi anaweza kuchagua system itakayomfanya asome na kutunza familia au kujishughulisha na biashara.
   
 16. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Hadi hapo, kurudi kwenye ajira tena ni ngumu. Yangekuwa hayajasanuka bado angeweza kuapa mahakamani kubadili jina na kutumia hilo lililoko ktk vyeti na kupata birth certificate mpya, so angekuwa ktk safe side, hata hicho alichonyanganywa na x wifi yake angeweza kukiandikia loss report.

  But kwa situation ilipofikia, kaka yake ampe kamtaji tu afungue ofisi ya kujiajiri, there is no altenative, maana huyo x wifi ataendelea kumuandama popote, mwishowe ataishia jela. Ishu ya vyeti is very sensitive kwa kweli.
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  There are no shortcut in life,nakusahuri achana na kutafuta kazi anza kufanya mambo yako kama biashara na vitu kama hivyo manake hilo jambo litakutesa sana dear!
   
 18. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Aende mahakamani akale kiapo abadilishe jina liw jina la kwenye cheti.
   
 19. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sidhani kama huyo dada anafanya vizuri, ameamua kumuadhibu mtu ambaye hajafanya kosa. yaani ni kama wewe umegombana na mzazi unaamua kumuadhibu mtoto, kakukosea nini?
  huyo kaka pia alikuwa hampendi mdogo wake. na watu wa hivi wapo wengi. kuna siku dada mmoja rafiki yangu aliniomba vyeti vyangu eti amsaidie mdogo wake, yaani nilimuweka kikao yeye na mdogo wake nikamwambia mdogo kuwa dadako anadhani atakusaidia kwa hili, lakini usikubali kusoma kwa cheti cha mtu yeyote, changu sikupi na akikuletea cha mwingine kataa, shule haijawahi kumuua mtu jamani, tusome tu
   
 20. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Smile,

  Biashara za kuforge forge sio nzuri wewe ingia elimu ya watu wazima fanya diploma kwa kutumia vyeti vyako. kuna vyuo vingi Dar vinapokea watu wa medani yako. La msingi vulia nguo maji uogelee. Ungelikuwa girlfriend wangu ningelikushauri hilo mapema tangu unasoma. Sio vizuri kufake vitu kama hivyo zina madhara makubwa. Soma diploma na vyeti vya chini halafu baada jiunge na chuo kikuu chochote ujiendeleza zaidi. Achana na njia za mkato hazina mpango.
   
Loading...