Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Inaendelea toka part 7 "Sikuachi ng'oo, hata ufanye nini" Meseji ilisomeka hivyo. Sikumbuki nini kilinipata baada ya kuisoma. Tulikutana kazini tena, lakini hali yangu ni wazi ilidhoofu. Rafiki...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu kuna njia nimeamua kuiendea...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
32yrs ndo umuri wangu. Kimaumbile kiungo changu cha kiume ni kidogo kiasi kile kikiwa ktk hali ya kawaida ni kama 2" hivi na katika ile hali ya kutumika ni kama 3.5" hivi nimshukuru mungu...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Usipime, mpaka nikaamua kumuoa, nilijua chakula hiki hakitaisha hamu ni maarufu na ndicho ninachokipenda na nilidhamiria kuhakikisha sitakichoka. Nitakiweka kwenye fridge na kukipasha kila...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
:A S crown-2:naomba Mnipokee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanajamii hakuna kitu kinadumisha mapenzi kama ukiwa na mwenzi wako na mnaaminiana na pale unapomhitaji unampata!na akiwa kwenye shughuli zake kakuacha nyuma kakuacha na simu yake!Mpaka unahisi...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Ni furahi day tena wana MMU.ninaomba ushauri wenu hata kwa men ruksa kuchangia.nili mtokea dada mmoja nilimfukuzia kwa miezi kama mitatu kwasababu alikuwa nataka sitaki iliniwia vigumu kumwelewa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamaa kachelewa kurudi nyumbani na kodi ya meza hakuacha asubuhi mama akaamua kujichukulia sheria mkononi kwa kumshushia kipigo kama vile anamwadhibu mwanae. Jamaa hakufua dafu na wala hakurusha...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Napenda kufahamu tu, Kila mmoja ana rafiki wa karibu (best friend) Kwa wadada haswa,mna best friend wa kike..... Ambaye mmepita katika milima na mabonde pamoja... Mmeshirikishana pale...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Jana wkt naangalia taarifa ya habari TBC kuna habari moja walionyesha toka mikoa ya kanda ya ziwa mtoto wa miaka kumi alikuwa anaishi na mama wa kambo, mama wa kambo huyo alikuwa anampaka pilipili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanamke anafanya kazi nbc , alikuwa akimpa kila kitu, (JAMAA) kazi yake yeye ilikuwa ni kutoa huduma ya ngono tu, hapo mwanzo mwanamke alikuwa radhi kwa hali ya ufukara...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Ukiyatazama mapenzi kwa jicho la tatu utagundua kwamba ni utoto unaofanywa na watu wazima. Ebu wachunguze wanawake, wanapenda kuambiwa maneno mazuri, yenye kila aina ya ahadi ndani yake hata kama...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Huyu ni kaka yangu kabisa, mama mmoja baba mmoja. Ana miaka 38 na kabla ya kuzaliwa mimi, walizaliwa kaka na dada zangu wengine 2, hivyo mimi ni mdogo wake wa 3, na hapo unaweza kujua tumepishana...
2 Reactions
94 Replies
7K Views
Leo ni siku ambayo umenijia sana akilini mwang ikiwa ni miaka sita tangu ulipotutoka mdogo wangu Rose ukiwa na miaka 12 ni kumbu kumbu mbaya ambayo haitafutika katika ubongo wangunimelia sana ...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Bosi na mke wake wananishagaza sana. Nina miezi 6 tungu niajiriwe(opr manager)kampuni hii binafsi ya Muasia. Kila inapofika lunch time bosi huniomba nikamchukulie chakula nyumbani kwake kwa gari...
0 Reactions
56 Replies
58K Views
Mhaligani wana jf.naombeni msaada wenu kimawazo mimi nampenda sana dada yangu(mtoto w baba mdogo) kimapenzi.na yy anaonesha kunijali na kuwa na wivu na mimi.mimi baba yangu alinikataa tokea nikiwa...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Kwa kweli mimi hujitahidi sana kutoa zawadi kwa my wife to be, Ila kuna kitu sielewi kabisa! Najua zawadi ni muhimu kuonyesha unajali(mwenyewe napenda zawadi)-Ila linalonitatiza dada zangu ni...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
:cool2:
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Hii kitu husumbua sana watu mahabuba. Haijalishi mliachana vipi lakini kurudiana huwa ni ishu pevu.........those good old memories hufanya hata sababu za kuachana zikasahaulika. Shida ni pale...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Wanawake wengi tumekua malaya bila kujijua. zamani bibi zetu walikua wakisubiri waolewe na wawe waaminifu kwa waume zao. sasa ukibikiriwa na miaka 15 mpaka uolewe wakati una miaka 30 si unakua...
2 Reactions
128 Replies
27K Views
Back
Top Bottom