Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kama dakika 20 hv zimepita hapa moshi stendi demu 1 kachaniwa nguo zake live hpa stend sababu nguo hiyo ilikuwa fupi saaana so watu wakaamua kuchukua sheria mkononi...dah ni noma demu hafai yani...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Things Women Should Know 1.We men don't care what u wear on a date, what we care about is when what u are wearing will come off.. 2.Just because you are in your periods don't mean l cant get...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Inasemekana kuwa mwanamke ana roho mbaya kuliko mwanaume,mfano: katika suala la kuua/kutoa uhai ukiwakabidhi visu ambacho ni butu na chenye makali mwanamke atachukua butu ili akuchinje taratibu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanajamvi me nafagilia mila na desturi za Kibantu ambazo ziko bomba,mathalani hii ya kulipa mahari kwa maana ya kutoa shukrani japo kiduchu kwa wazazi/walezi wa mtarajiwa wako (mke). Lakini baadhi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa maana halisi ya neno love. Hawa wamesema hivi! 1. Plato- A grave mental disease. 2. John Ford- Desparate madness. 3. Ovid- A kind of...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Inasadikika kuwa unaweza kumlazimisha punda kwenda mtoni lakini huwezi kumlazimisha anywe maji. Vivyo hivyo katika mapenzi kuna wakati inafikia ambapo mpenzi hawezi kumlazimisha mwenza wake kitu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika vitu ambavyo sisi wanaume huwa tunakosea ni kati ya hivi..... Sisi wanaume tukiwa na mwanamke amabaye ni mpya katika mahusiano u wa tunaamini kuwa huyu mwanamke hayuko pekeeyake lazima kuna...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Dada mmoja alikuwa anasema,hawa wanaume siku hizi ni fake kweli,ni wanaume suruali tu. Kalalamika kweli,nili muuliza swali moja tu,wanaume wote unawajua? Akasema,..."ndo wale wale tu,hamna...
8 Reactions
47 Replies
4K Views
wadau naomba mnieleze uhusiano uliopo kati ya mate na mkojo, maana watu wengi (hasa wanaume) hutemea mate mkojo walioukojoa wao wenyewe (hasa pale tendo hilo la kukojoa linapofanyikia pembeni ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni msichana wa miaka 27. Nimewahi kua na uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja ambaye alikua ndiye mwanaume wa kwanza kwangu ila tuliachana baada ya kugundua kua mwenzangu baada ya kupata...
4 Reactions
132 Replies
15K Views
Niliyempenda amesafiri na simu hapokea wajf nipeni
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Natafuta jimama lenye pesa zake linalokwenda na wakati na linalojua kutumia hela,liwe na gari zuli na liwe linapenda kujiachia,nina miaka 23 bonge la handsme,awe na umri kuanzia 30 mpaka 100
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Tusidanganyane kwa visa vya alfu ulela ulela, bila pesa penzi halidumu hata wapenzi wapendane kiasi gani :yell:
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuna hii kitu loyalty(faifhfulness/commitment to obligation) kati ya marafiki iwe wenye mahusiano ya kimapenzi ama urafiki kwa maana ya urafiki tu. Kati ya marafiki 'loyalty' ina umuhimu kiasi...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Huyu binti nilianza nae mahusiano kama miezi miwil iliyopita ila tatizo ni sex kila nikimwomba tunaishia kwenye romance tu,ndani ya hiyo miezi miwili nikaamua kumpima kwa kumdanganya...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
kaka zangu na dada zangu wana jf nawakaribisha mje mniimbie kwenye harusi yangu huuu wimbo dada huyooo anaolewa dada huyoooo anaolewa mahariiii ishatolewaaaa mahariiii ishatolewaaaa kwa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
UPDATE Mila na desturi kisa cha harusi kutofungwa Hii ni update kuhusu yule Bi harusi aliyeingia mitini. Chanzo cha harusi kutofungwa kilitokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri na washenga...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Binafsi najikuta mara nyingi nikipata shida kuamini kama kweli kuna kitu kinachoitwa mapenzi ya kweli katika ndoa zetu. Hata hivyo, siku ya Jumapili (1 Aprili 2012) kulikuwa na story kwenye...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa yeyote mwenye kopi ya thread moja inayoitwa "BARUA YA WAZI KWA MWANANGU KOKU" naomba anitumie kwenye e mail hii safarijunior2@gmail.com
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hajaoa, nimesikia kny hotuba yake..... jamani eeeh am singo..... nani hataki kupanda VX?lol
6 Reactions
114 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…