Things Women Should Know

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Things Women Should Know

1.We men don't care what u wear on a date, what we care about is when what u are wearing will come off..

2.Just because you are in your periods don't mean l cant get anything from you..

3.When you want us men to go down there, and u know it smells bad

4.When on Sunday we r watching football with friends, then u keep telling me "twende out.."

5.........................................................................(Jaza zako)

boflo.jpg
 
Boflo kweli wewe msema kweli,
5- Dont force a man to give u money immediately
 
Boflo,

1 & 2 umechemsha tena na kuni za migomba

Madamex...

Sasa ww unatujuaje sisi wanaume kama tuna care mavazi yenu mnayovaa???

na hakuna kitu mwanamme anachukiwa kama kuambiwa habari ya period
 
Period,sio sababu yakukufanya mumeo au mpenzi wako asikate kiu,lakini na wewe mwanamme pia humuonei huruma mwenzio na hicho ni kitu cha siku 3 au 4 huwezi kusubiri?
 
Sasa hamtaki kuambiwa period, unataka ukutu surprise? Haya, noted!

Sikatai wewe kuwa na period,

Lakini nyinyi mnachukulia easy kusema period, kama ume date na man, na bahati mbaya umepata period,unatakiwa utoe huduma mbadala
 
Madamex...

Sasa ww unatujuaje sisi wanaume kama tuna care mavazi yenu mnayovaa???

na hakuna kitu mwanamme anachukiwa kama kuambiwa habari ya period

lazima uyo mwanaume awe mwanaume m.j.inga bin m.p.umbavu...sasa utakasirika nin kuambiwa period?
ujui nature ya kike?

mwanaume ni akili na uelewa kinyume na apo ni bora atangulie wedng bells akachague shela
 
Things Women Should Know

1.We men don't care what u wear on a date, what we care about is when what u are wearing will come off..

2.Just because you are in your periods don't mean l cant get anything from you..

3.When you want us men to go down there, and u know it smells bad

4.When on Sunday we r watching football with friends then u keep telling me twende out..

5.........................................................................(Jaza zako)

View attachment 51035

panapo red bwanakaka inaaplly kote
inategemeana na usafi wa mtu awe wa kike au kiume bt u cant sema wanawake wananuka woote
thats kuna mijianaume inanuka sana chn...boksa afui...boksa moja wik 2 na joto ili then njimbi anataka ushike mic...
 
lazima uyo mwanaume awe mwanaume m.j.inga bin m.p.umbavu...sasa utakasirika nin kuambiwa period?
ujui nature ya kike?

mwanaume ni akili na uelewa kinyume na apo ni bora atangulie wedng bells akachague shela

sasa unafikiri ukitaja period ndio umesolve problem.....
watu kama ww ndio mnasababisha tuwe na vimada wa pembeni

incase uko na period.....basi huwezi kufanya utundu?????
 
Boflo

# 1 you have to invest in complementing first to worry if it would come off, at least the effort taken to look good infront of you.

# 2 if only know what women go thru during period its not a one place problem, its entire body thing. It affects psychological of women and moody swings and so forth at that time the least woman bother is to please a man. Na kama hamtaki kusikia habari za period bora mkadate majimama above 55 already on menopause.

You guys, need to know and understand women that putting the formula in here won't help ndio maana mnapigwa vibuti kila siku!
 
panapo red bwanakaka inaaplly kote
inategemeana na usafi wa mtu awe wa kike au kiume bt u cant sema wanawake wananuka woote
thats kuna mijianaume inanuka sana chn...boksa afui...boksa moja wik 2 na joto ili then njimbi anataka ushike mic...

Wape wape vidonge vyao....wakimeza wakitema....ni shauri yao.....misss you my dear! :yo:
 
Boflo anachosema ukiwa na prds u can do other things kama kissing etc kuna wengine akiwa kwenye prds hata kukaa na wewe shida.thanks God demu wangu hayuko hivyo,akiwa prd nitamassage tumbo,kumbadilisha pad infact miye ndo namnunulia hizo pad and all these little actions vinatubond zaidi
.
 
sasa unafikiri ukitaja period ndio umesolve problem.....
watu kama ww ndio mnasababisha tuwe na vimada wa pembeni

incase uko na period.....basi huwezi kufanya utundu?????

kwan na wew ukiambiwa nipo period auwez kunisubiri siku 3 tu?
au umenifanya mimi chombo chako cha starehe km si MTUMWA wako wa kukustarehesha ata km nikiwa period au naumwa au sijiskiii vizuri its my duty kukustarehesha?

thats nt me na wala sina na staweza kuwa na mwanaume mwenye swaga za kunitrit km mtumwa yan iweje iwe ni lazima nimstareheshe HAPANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANOOOOOOO

NA kwa wanaume waelewa ukiwa kwenye period bas atakupa care zote...kukuwekea maji ya moto..kukukanda tumbo...kukupaka viks....etc...etc...sasa wewe unayetaka mwenzio aanze kushika mic wakat tumbo linamkata la MP...u better go to ya grandpa to learn how to....during period....in shot KAOGE BABU....UMECHEMSHA KWA LEO....alamsiki if not RIP.:tape2:
 
Boflo anachosema ukiwa na prds u can do other things kama kissing etc kuna wengine akiwa kwenye prds hata kukaa na wewe shida.thanks God demu wangu hayuko hivyo,akiwa prd nitamassage tumbo,kumbadilisha pad infact miye ndo namnunulia hizo pad and all these little actions vinatubond zaidi

.

UR GUD BOY.
nenda kamfunde boflo...na unatakiwa utambue kwamba wengne wakiwa kwenye period wanachange kabisa ...si wao ni masuala ya hormone change....ikiiisha anarud kuwa normal ..ol gentlman know t....sasa kinyume na apo mhh m afraid kusema :tape2:
 
Boflo anachosema ukiwa na prds u can do other things kama kissing etc kuna wengine akiwa kwenye prds hata kukaa na wewe shida.thanks God demu wangu hayuko hivyo,akiwa prd nitamassage tumbo,kumbadilisha pad infact miye ndo namnunulia hizo pad and all these little actions vinatubond zaidi
.

hapo ndio point yangu......sasa utakuta wengine wakiwa wana period wanakuwa wakali utadhani mimi ndio nimesababisha period, hata kiss hupewi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom