'loyalty' between friends...Sometimes ngumu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'loyalty' between friends...Sometimes ngumu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kongosho, Apr 3, 2012.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kuna hii kitu loyalty(faifhfulness/commitment to obligation) kati ya marafiki iwe wenye mahusiano ya kimapenzi ama urafiki kwa maana ya urafiki tu.

  Kati ya marafiki 'loyalty' ina umuhimu kiasi gani?
  Na mfano mtu akashindwa kuwa loyal mara moja je kuna jinsi ya kurudisha hali ya awali?

  Hii dhana/neno huwa linanichanganya sana hasa katika kuliishi na jamii ya marafiki.

  Na unapogundua rafiki/ndugu yako amefanya crime utamuumbua au loyalty inatakiwa ichukue nafasi yake?

  Naomba msaada wa kudadavua.
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Inategemea alikosa loyalty kwa kiasi gani. Alifanya kusudi au kosa la kijinga tu?
  Mimi ni mwepesi sana kuelewa, na najua kabisa hakuna mtu mkamilifu.
  Nikiwa na rafiki, ndugu, partner, nahakikisha najua mapungufu yake
  Pia nahakikisha anajua ni vitu gani siwezi kusamehe, na vitu gani naweza tolerate.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Labda niseme, tuondoe suala la cheating hapa kama urafiki utakuwa ni wa kimapenzi.

  Kuna mambo mengine kama kusema kitu ambacho anajua kabisa hutapenda kama atadisclose kwa watu.

  Au anagundua kuna kitu kinafanyika against na wewe halafu hakuambii.

   
 4. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hata mimi sijasema kwa ku-cheat tu. Nimeongea kwa jumla,
  masuala ya kiuchumi, ya kukashifiana etc.
  Nimesema inategemea kama ni kitu muhimu sana kwangu,
  Kama alijua hicho kitu ni muhimu, kama alijua anacho fanya wakati huo
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hivi mfano ujue ndugu/rafiki yako ni wanted na watu fulani.

  Na unajua kabisa alifanya kosa, kama ukifahamu alowakosea wanatafuta details zake, utawapa hizo info?

   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  loyalty is two way street......
  to demand loyalty na wewe uoneshe hiyo loyalty....

  kwangu mimi i dont demand loyalty that much...
  huwa naacha 'a room for dissapointment'

  i am my own best friend...........
   
 7. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  ngoja nipate somo
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  ukijua mapungufu ya rafiki yako, ukimjua vyema rafiki yako utamchukulia jinsi alivyo... Automatikale utakuwa loyalto him/her.........

  Na inategemea urafiki wenu umeshiba kiasi gani, na kosa alilofanya limevuka mipaka kiasi gani .....

  Ina mix kimtindo loh!!!!!!!
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Loyality ina limitation, ukinyamaza utakuwa unafuga criminal.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  can you sell your mother/father/mtoto/ndugu wa damu??

   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Nadhani sijapata maelezo ya kutosha, asanteni wachangiaji.
   
 12. P

  Pure Mathematics Senior Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  .
  Usiende mbali, bado wanakuja..
   
 13. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hapana aisee
   
 14. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama aliwakosea mi siwezi kumtoa, ila nitamwambia ni bora ajitoe mwenyewe.
  Kuna rafiki yangu wa karibu alikua na mchumba wake, wakati wamesha panga hata date ya ndoa
  Nikagundua rafiki yangu was cheating on him. what I did was to convinve her to stop her cheating
  but pia kusimamisha harusi hadi pale alipohisi yuko tayari. Kuwajibika ni lazima, but siwezi kumtoa.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Unaona inavyokuwa ngumu
  Huwa nashindwa kujua mpaka uwe wapi sometimes.

   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Nadhani approach hii ni nzuri kwa case hii.

  Imagine unam-convice mtu ajitoe wakati unajua akijitoa anafungwa.

   
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama hakuna uwezekano wa kunaswa nitachuna tu.
  Ben Laden angekua ndio mume wangu mfano,
  NIngejaribu kum-convince ajitoe, hata kama ni mbaya kwake.
  Inategemea pia how big is the offence, how guilty I will feel protecting him.
  Sidhani kama nitakuja kumtoa, but naweza kuamua kukata mahusiano.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  It all depends aisee.. . .
  Kwanza how loyal is that friend/ndugu to you and just how much of a price you might have to pay for protecting him/her. Siwezi mkingia kifua kuzuia kisu mtu ambae najua mimi hata kuniwekea mkono nisikanyage maji machafu hawezi, labda kama nilimzaa mimi.

  Kuna watu ambae ni takers, yani wao wanapenda kupewa kila kilicho kizuri but they never give. Sasa mtu kama huyo kujifanya eti wewe ni loyal kwake no matter what ni ujinga. Ndio yule unajikuta matatizoni kwaajili yake alafu ye haoni kama ulimsaidia kwahiyo hata pole hakupi. Soma watu, elewa watu, wapime watu ndio ujue kama wanastahili loyalt toka kwako na kwa kiasi gani.
   
 19. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yani hapa umegusa mahali ambapo I always ask myself the same!
  Kwa kweli ukiwa na positive judgement ya events and people-usipotaka muonea mtu yeyote kwenye matendo na maamuzi yako utakuwa free! Rafiki yako akitenda kosa if he/she is a real man/woman then she/he has to own and face his/her mistakes. Loyalty hapa ni kumsaidia positively aweze kukabiliana na uharibifu wake na usiseme si rafiki yako kwa sababu kafanya hivyo!

  Ila sasa what If mtu ata'betray' your trust and loyalty? Kwa kweli hawa mioyo yetu inawakataa kabisaaa mwanzoni. Ila with time unaona faida zao kwenye maisha yako unawasamehe. Ndo maana mimi huwa nasema kuna mambo ambayo their only solution ni time! Ndo maana mtu akiachwa ujanja ni kuwa very busy na baada ya siku/miezi/mwaka unachukulia kawaida. So if someone betrays your loyalty just hold on an time will redeem the things you lost in the rain....
   
 20. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hi lizzy, how are you doing today?
   
Loading...