Shuga mama upo?

Hashm

Member
Mar 27, 2012
47
15
Natafuta jimama lenye pesa zake linalokwenda na wakati na linalojua kutumia hela,liwe na gari zuli na liwe linapenda kujiachia,nina miaka 23 bonge la handsme,awe na umri kuanzia 30 mpaka 100
 
Natafuta jimama lenye pesa zake linalokwenda na wakati na linalojua kutumia hela,liwe na gari zuli na liwe linapenda kujiachia,nina miaka 23 bonge la handsme,awe na umri kuanzia 30 mpaka 100

Unataka kuwa mtumwa wa mapenzi siyo.Acha ujinga wewe mwanaume tafuta vyako.Usione vyaelea vimeundwa/kumbwa...
 
Upuuzi mkubwa huu... we kijana badala ya kutafuta kazi unatafuta mwanamke akulee, hilo gari unalolitaka kwani yeye ameokota si ametafuta!!!! pesa uzitakazo hazitakusaidia kitu zitakufanya uwe mtumwa milele
 
Natafuta jimama lenye pesa zake linalokwenda na wakati na linalojua kutumia hela,liwe na gari zuli na liwe linapenda kujiachia,nina miaka 23 bonge la handsme,awe na umri kuanzia 30 mpaka 100

Kijana ongeza heshima kidogo, miaka 30 nani kakwambia sugar mummy? Sugar mummy anakuwa ni mtu anaouwezo wa kukuzaa ni umri wako + 15 years, roughtly should be someone of 38 years and above.
 
Sugar mamy? ahaa sugar kanunue dukani,Mamy kila mtu ana mama yake.Vichanganye hivyo upate sugar mamy!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom