Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hi ladies and gentlemen. Siku za hivi karibuni, mikasa ya usaliti na kukosa uaminifu kwenye mapenzi imekua inaongezeka kwa kasi. Sababu zipo nyingi na thread zenye hizo sababu naamini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
mada zinarudiwa rudiwa...visa vinafanana...visa vya kizushi zushi...uongo ambao hata kwa kupapasa tu unajua hamna kitu hapa!...kiufupi sioni jipya! ombi langu:watu wenye mambo ya ukweli...na...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
hataki,nipigiwe simu na rafiki yeyote wa kiume awe class mate,work mates,school mates,my homme friends...oooh! ushauri nifanyeje,vile anatamani hata mail zangu zote asome kama kuna mwamume...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Ndugu wapendwa kuuliza siyo ujinga. Mim nina mpenzi ambaye yuko nyumban na mim niko chuoni, mwez wa2 alidai ameshika ujauzito maana nilienda likizo fupi. Mimi nilifurahi lakin yeye akawa anadai...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Natafuta msichana wa 18-35 ambaye hajaolewa na haishi na bwana. (only 4 fun) Ninaumri wa miaka 35, naishi Rsa nakuja Tz mara 2/3 kwa mwaka. Vigezo: awe anajiweza kiuchumi, mkweli, hanywi pombe...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
hapo juu kwenye bango la jamii forums,siku hizi kuna matangazo mengi,mojawapo ni la oxforo....forex,naomba anayejua kuhusu hii foreign currency trading unavyofanya anifundishe,au kama kuna course...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kweli TANZANIA hii, elimu ya kuchagua wenza inatakiwa ili nchi ikombolewe! Yani matatizo mengi ya ndoa ukiyachunguza chanzo chake utakuta ni kwamba watu wamechokana tu! Hii inasababishwa na...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba niwaulize dada zangu hivi ni vitu gani hamvipendi kwa akina kaka?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna suruali za kike zimeingia mitaani ambazo zina vaccum (nafasi) ambapo baada ya kuvaliwa na ku~pump hujaa na kumwongezea mwili, (hips, mapaja) yake hivyo wakwere wa wa wanawake wakae sawa....
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wadau? Kama kuna wanaokumbuka wiki chache zilizopita nilitoa uzi kuomba ushauri kuhusu the two women in my life. Watu walinishauri vizuri na nikaamua kufuata ushauri wa wadau...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
habari zenu wandugu? Natumai mpo salama kabisa. Jaman swali langu ni fupi. Hivi ni kwa nin wanawake mabonge wanapenda sana taarabu? Je huu mziki ni kwaajiri yao wao wenyewe? Kweli sielewi mpaka...
0 Reactions
149 Replies
23K Views
I hv always been wondering about this thing; HAIR ON MEN CHEST. I dont know whether girls like them or not. Can I hv some comments from the girls around Jf?? Madume ya kibongo wanazo hair ktk...
2 Reactions
119 Replies
15K Views
Sijui kwa nin kila girl ninaekuwaga na uhusiano nae pindi 2napokua distance huwa wanapenda kuniuliza hilo swali?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
ni mara yangu ya kwanza kujiunga jf baada ya kuchoka kusoma post kama mgeni,ombi langu kwenu ni kuwa natafuta housegirl muathirika wa ukimwi ,yeyote mwenye kuweza kunisaidia ani pm asanteni
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa muda mwingi nimekuwa nikijiuliza kwamba hivi sisi wanaume ni kwa nini tunapoenda kumtongoza mwanamke kwanini hatuendi mojakwamoja kwenye pointi?,Nilazima mwanzo mwisho ni Magumashi uongo...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
kama dakika 20 hv zimepita hapa moshi stendi demu 1 kachaniwa nguo zake live hpa stend sababu nguo hiyo ilikuwa fupi saaana so watu wakaamua kuchukua sheria mkononi...dah ni noma demu hafai yani...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Things Women Should Know 1.We men don't care what u wear on a date, what we care about is when what u are wearing will come off.. 2.Just because you are in your periods don't mean l cant get...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Inasemekana kuwa mwanamke ana roho mbaya kuliko mwanaume,mfano: katika suala la kuua/kutoa uhai ukiwakabidhi visu ambacho ni butu na chenye makali mwanamke atachukua butu ili akuchinje taratibu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanajamvi me nafagilia mila na desturi za Kibantu ambazo ziko bomba,mathalani hii ya kulipa mahari kwa maana ya kutoa shukrani japo kiduchu kwa wazazi/walezi wa mtarajiwa wako (mke). Lakini baadhi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa maana halisi ya neno love. Hawa wamesema hivi! 1. Plato- A grave mental disease. 2. John Ford- Desparate madness. 3. Ovid- A kind of...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom