Mapenzi yaumiza jamani nifanye nn

Kwa muda gani? Hajapokea kwa siku moja tu au zaidi?
Hamkutofautiana kabla hajaondoka?
Una uhakika anakupenda?
Hauwi kero kwake mkiwa pamoja?

Ukijijibu hayo maswali (sio lazima uyaandike majibu humu), utakuwa umeshapata idea ya nini cha kufanya!
 
kwani ulipoingia kwenye mapenzi ulizani ni tambalale tu hakuna milima? jifunze hata kupanda vilima ndo mapenzi yalivyo. kuwa mvumilivu
 
Niliyempenda amesafiri na simu hapokea wajf nipeni

kwani umempigia kwa mda gani? kama ni zaidi ya siku moja au mbili, je hakuna marafiki au watu wake wa karibu ambao wanaweza kupata mawasiliano ya huko alikokwenda? alafu kuna kitu kimoja hii mitandao ya simu kuna wakati mwingine mtu hapatikani ila ukipiga simu inaita, hapo unaweza kudhani mtu hapokei simu kumbe sivyo jaribu kutumia mitandao tofauti tofauti kupiga, binafsi ilishawahi kunitokea nikawa nampigia mtu simu yake haikuwa hewani lakini kwangu inaita bila kupokelewa
 
mmh, wana JF mna kazi.. yaani mtu hatoi taarifa za kutosha but anaomba ashauriwe, how?
 
mimi nikiwa simtaki demu namkatia mawasiliano
ndio dawa yake kubwa atakutafuta ukipokea unakua mkavu
kama vile dada yake au unamzimia simu. Kama zinachemuka mwenyewe ataaga jahazi.
Huyo sio wako tena. Njoo kwangu mrembo.
 
...inategemea mlianza lini mapenzi yenu. Yawezekana amekutana na wa zamani kama hamkukutana kitambo. Yaonyesha pia hupafahamu alikokwenda au huna ukaribu na ndugu au rafiki zake. Ila endelea kujaribu.
 
yupo mbali na simu,au simu yake hai-display piga tena kesho asipopokea msubiri akirudi muulize...
 
Kwa muda gani? Hajapokea kwa siku moja tu au zaidi?
Hamkutofautiana kabla hajaondoka?
Una uhakika anakupenda?
Hauwi kero kwake mkiwa pamoja?

Ukijijibu hayo maswali (sio lazima uyaandike majibu humu), utakuwa umeshapata idea ya nini cha kufanya!

Umenena
 
Duuh, chukua early retirement in this field, you will save your worries.
 
Si umsubiri tu! Mbona hiyo kitu yake kaenda nayo pengine ataihitaji huko aliko mpaka arudi atarudi nayo hafu mambo yataenda kama kawa.
 
Back
Top Bottom