kimini cha mponza...

One Man Army

JF-Expert Member
Dec 27, 2011
236
34
kama dakika 20 hv zimepita hapa moshi stendi demu 1 kachaniwa nguo zake live hpa stend sababu nguo hiyo ilikuwa fupi saaana so watu wakaamua kuchukua sheria mkononi...dah ni noma demu hafai yani, ila thanks kwa polisi waliomsaidia kumpakiza kwenye gari ila ilikuwa too late...ma sista du wa dar karibuni moshi...picha badae kidogo ntawaletea
 
Huo ni ukiukwaji mkubwa wa khaki za binadamu, kama yeye amevaa kimini wengine inawahusu nini? Na ukifanya utafiti utagundua kuwa wale wanaowazomea ama kuwachania nguo ni wazinzi wakubwa.
 
Wachaga bhana, hawajui kuwa biashara ni matangazo
 
Huo ni ukiukwaji mkubwa wa khaki za binadamu, kama yeye amevaa kimini wengine inawahusu nini? Na ukifanya utafiti utagundua kuwa wale wanaowazomea ama kuwachania nguo ni wazinzi wakubwa.

Hao ni wavunjaji wa sheria na haki za msingi za binadamu. Hakuna mtu mwenye haki ya kumchania mwenzie nguo na haijalishi mtu kavaa nguo gani. Halafu kama habari ilivyoletwa, eti polisi wamemchukua mdada ili kumnusuru....sasa najiuliza...hao wahalifu ina maana wameachwa bila kutiwa nguvuni?

Hii nchi bana!
 
yani watu walikuwa wengi sana yan kwa haraka ni kama watu 800 hv coz hata magari yalisimama kwa muda

Aisee! Lakini nisishangae sana maana watu huwaga wanauliwa mchana kweupe huku vyombo vya habari vikipiga picha na hakuna anayefanya chochote kuzuia hayo mauaji sasa seuze mdada kuchaniwa nguo?
 
Hao ni wavunjaji wa sheria na haki sa msingi za binadamu. Hakuna mtu mwenye haki ya kumchania mwenzie nguo na haijalishi mtu kavaa nguo gani. Halafu kama habari ilivyoletwa, eti polisi wamemchukua mdada ili kumnusuru....sasa najiuliza...hao wahalifu ina maana wameachwa bila kutiwa nguvuni?

Hii nchi bana!

watu walikuwa wengi sana kama 800 hv polisi wasingeweza..
 
watu walikuwa wengi sana kama 800 hv polisi wasingeweza..

Kwa hiyo hilo nyomi lote lilikuwa likimzomea, kumzodoa, na kujitahidi kumchania hicho kimini chake? Yaani mtu 800 dhidi ya mdada 1? WTF is wrong with people?

Ni hawajawahi kuona vimini au?
 
kama dakika 20 hv zimepita hapa moshi stendi demu 1 kachaniwa nguo zake live hpa stend sababu nguo hiyo ilikuwa fupi saaana so watu wakaamua kuchukua sheria mkononi...dah ni noma demu hafai yani, ila thanks kwa polisi waliomsaidia kumpakiza kwenye gari ila ilikuwa too late...ma sista du wa dar karibuni moshi...picha badae kidogo ntawaletea

I wonder hii sheria ya mkononi waliyochukua ni ya wapi...!!! Inabidi watu tuache kuwa barbaric.., hivi aliyevaa na waliomchania ni nani mvunja sheria hapo ?

Inabidi tubalike tuachane na mambo ya kizamani (hata watu wa zama za mawe hawakuwa hivi), this is hooliganism at its best na kukosa kazi
 
watu 800??

napata picha ningekuwa mm na kimoni changu lolz!

unaomba ardhi ipasuke uingie yan mmh.

mmh but ts v unfair yan, kweli kabisa ni kujichukulia sheria mkononi, anakuboa kata shingo (acha kumuangalia)!
 
Weka picha tuone acha urongo! Watu 800 ni uongo mkubwa!

Eeka Mangi.........wewe ndiye JF THINKER.......wengi wameburuzwa na hii khabari ambayo haina ushahidi wowote na wala hakuna chombo chochote cha khabari ambacho kimetujuza..........abandike picha hapa vinginevyo hatuikubali..............
 
Wachaga wanaijua sana ela so wakaona uyu mdada atawalia ela zao kheri wamwajibishe tuu
 
Walimchania nguo yake akabaki na ngozi yake.Tehe tehe safi sana mi naona walimsaidia vile anavyotaka manake alikuwa anataka ajionyeshe na watu wakasikia kilio chake
 
Watanzania bado sisi ni mbumbumbu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,..tunashindwa kufanya mambo ya muhimu tunabakia kuwadhalilisha dada zetu . hao wote waliofanya huo ujinga ni kupiga ndani jela mahabusu wakanyee debe ...
 
ninapinga uonevu kwa mwanamke. inasikitisha sana viongozi wetu wanashangilia hili jambo...wakipita mafisadi hapo yanapigiwa makofi ila dada zetu wanazomewa. its so sad.
 
wamemuonea dada wa watu.wao wenyewe wasafi?,waangalie ya muhimu sio kumvua nguo dada wa watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom