Mimi ni msichana wa miaka 27. Nimewahi kua na uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja ambaye alikua ndiye mwanaume wa kwanza kwangu ila tuliachana baada ya kugundua kua mwenzangu baada ya kupata...
Natafuta jimama lenye pesa zake linalokwenda na wakati na linalojua kutumia hela,liwe na gari zuli na liwe linapenda kujiachia,nina miaka 23 bonge la handsme,awe na umri kuanzia 30 mpaka 100
Kuna hii kitu loyalty(faifhfulness/commitment to obligation) kati ya marafiki iwe wenye mahusiano ya kimapenzi ama urafiki kwa maana ya urafiki tu.
Kati ya marafiki 'loyalty' ina umuhimu kiasi...
Huyu binti nilianza nae mahusiano kama miezi miwil iliyopita ila tatizo ni sex kila nikimwomba tunaishia kwenye romance tu,ndani ya hiyo miezi miwili nikaamua kumpima kwa kumdanganya...
UPDATE
Mila na desturi kisa cha harusi kutofungwa
Hii ni update kuhusu yule Bi harusi aliyeingia mitini. Chanzo cha harusi kutofungwa kilitokana na kutokuwa na mawasiliano mazuri na washenga...
Binafsi najikuta mara nyingi nikipata shida kuamini kama kweli kuna kitu kinachoitwa mapenzi ya kweli katika ndoa zetu. Hata hivyo, siku ya Jumapili (1 Aprili 2012) kulikuwa na story kwenye...
Nakumbuka ilikuwa mnamo mwaka 2007 Ndipo tukio hili la kufedhehesha lilipomtokea ndugu yetu wa karibu,kwa jina mangi toka moshi(samahan cyo mangi wa jf) akiwa na umri wa miaka 26,alikuwa ndio...
akina dada uliweza kumwambiaje mama au baba ako kuwa unamimba wakati bado upo nyumbani? na makaka mliwaambiaje nyumbani kuwa kunabinti anamimba yako? je mlianza kumwambia baba au mama? na ulisemaje?
Jamani kwanini wanaume wakiafrika or let me put this way black men (blekiiiiiiiii men) wanamatatizo fulani mbona mimi naona idadi nyingi tu wenye vihela kidogo au majina yao kishapanda chati...
Mvua iliyonyesha jana hapa Jijini Arusha na hata pembezoni mwa mji imeleta maafa ya watoto watatu wa familia moja ya Mbayana Loshilaa anayeishi Wilaya Arumeru Mashariki Kata ya Mwandet karibu kbs...
Nimeipata hii kwenye mkasi EATV.
"Mpende akupendae, asiyekupenda MHONGE"
Imekaaje hii? Inamaana wote wanaohonga hawana mapenzi ya kweli? Na mapenzi ya kweli ni yale ya kupendana tu bila...
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kwamba busu ni kitu muhimu sana katika kukuza UPENDO.
Imefahamika kwamba kumbusu mwenza wako wakati wa kutoka nyumbani, kuteremka garini na wakati wa kurudi nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.