Tuanzapo Mahusiano mapya........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuanzapo Mahusiano mapya...........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Mar 31, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Katika vitu ambavyo sisi wanaume huwa tunakosea ni kati ya hivi.....
  Sisi wanaume tukiwa na mwanamke amabaye ni mpya katika mahusiano u
  wa tunaamini kuwa huyu mwanamke hayuko pekeeyake lazima kuna mwingine hivyo natakiwa kuwa mguu ndani mguu nje!!Lakini kumbe masikini yawezekana ukawa wewe ndo mwenye bahati ukakuta dada hana mtu au mahusiano yake ya hawali yaliharibika kutokana na tabia kama zako wewe uliyemtongoza na yeye hataki chovyachoya anahitaji wakwake wakujidai naye kila mahala!

  Pili Sisi huwa hatujui kama sisi ndo wakuwafanya wanawake waridhike wawe nasisi naasiwe na hamu ya mtu mwingine mpaka kufikia kutomtamani mwanamme mwingine na mwanaume mwingine akimtongoza aonekama kero fulani!! mwanamke ukimwonyesha kumjali kuwanaye karibu mawasiliano yakila mara na outing zakila jioni basi jua mwanamke hata kama alikuwa na boyfriend atamwacha kiaina nakukuta mapenzi yote kayahamishia kwako lakini hili wengi wetu tumekuwa hatulijui!!, wanaume tulio wengi tumekuwa tukijikita sana katika mapenzi ya hela/pesa,kukata pochi,kama ndiyo dawa yakumsogeza karibu mwanamke!!wakati unampa pesa yeye anaenda kumpa mapenzi yakweli mwanamume mwingine??wapi faida?Jiulize yule anakuzidi nini mpaka ushindwe wewe?/Mapenzi nikujaliana mapenzi siyo pesa!!Japo wengi wanawake wanathamini mkwanja kuliko pesa lakini bado unayo nafasi yakumbadrisha kutoka kwenye pesa akaja kwenye mapenzi ya kweli!!
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kuhusu mwanaume kumpumbaza mwanamke na asiwe na haja ya mwanaume mwingine yeyote, uko sawa 100%. Na outing sio lazma iwe ya double tree/hilton, hata mihogo ya coco beach ni outing tu. It is the thought that counts. Stop pushing the lovely ladies aways!
  Asante kaka kiiza
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Outing siyo lazima umpeleke mahali ambapo ni pa bei hata outing hata mkitoka mkatembea beach nakingine nikuepuka kumpeleka mpenzi wako kwenye vijiwe ulivyo vizoea hata kama ukimpeleka washikaji sikuhiyo unawatema unakuwa na mpenzi then you will see the difference!
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  really? behaviour ya hawa viumbe siyo ya kupiga mstari kwa rula kiasi hicho... you can do every damn thing kwa ajili yao na bado ukaambulia vituko
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Nikwamba kila kitu hujakuharibika kutokana na wewe ulivyoanza!!!Lakini wewe ndo uko responsible ku handle issue nzima!!
   
 6. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  I like this thread
   
 7. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hiyo ndo siri nzito ya kumfanya mwanamke awe wako tu. big up kaka kwa mwanaume mwenye akili timamu hatapinga hili kazi kwao
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Word!

  Umenena kwa kweli, ngoja nikatoe mtu out.
   
 9. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Good idea.Bora umeliona ukatusemea
   
 10. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hawa viumbe ni kama konyagi,ipo siku unaimudu na kuna siku inakutoa nishai........very unpredictable
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu nijinsi gani una hadle!!hata konyagi jinsi unavyokunywa ndivyoinavyokolea kichwani inatakiwa unwe responsibly!!
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  nashangaa hii thread ali gonga likes ni mimi tu peke yangu
  why?
  hamuoni inastahili likes nyiingi?
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  KakaKiiza maneno yako swadakta!
  Mbona mie sikumaind kumnunulia ticket Husninyo
  Dar/Chicago/Dar Just kumpigisha mswaki wa macho tu!
  Na hivi nampango kumpigisha mswaki mwingine far east soon, ni visa tu ndo ina urasimu.
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Umemwaga mapwenti kaka... Wanaume mna nafasi kubwa ya kumfanya mwanamke atulie na wewe na asifikirie wengine.
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  naomba ugonge nyingine kwa niaba yangu.
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  honey unanipagawisha. Vismol houses vyote nishavipiga chini.
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kwa niaba yako?
  wewe ni nani wangu labda?nikumbushe....
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  bosi wako.
   
 19. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  i like this... ; in as much as we would wish to be idealistic, we need to get real
   
 20. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Wonderfull kakakiiza,your exceptional!wanaume wote wangelijua hilo mbona tungenenepa?
  Mwanamke umleavyo ndivyo akuavyo..the problem wanaume wengi hawaamin kwenye mapenzi ya kweli na yenye u2livu wanachukulia isue ya kua na mpenzi zaid ya mmoja ni prestige!la hasha you can have a single woman na ukamtreat vizuri 2 the extent hatamani kupendwa na mwingine zaid yako..
   
Loading...