Penzi Kitanzini

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Inasadikika kuwa unaweza kumlazimisha punda kwenda mtoni lakini huwezi kumlazimisha anywe maji. Vivyo hivyo katika mapenzi kuna wakati inafikia ambapo mpenzi hawezi kumlazimisha mwenza wake kitu fulani. Pamoja na kuwa kunyenyekeana na kuafikiana ni muhimu ni dhahiri kuwa kuna wakati hilo haliwezekani. Je, nani anakuwa na uamuzi wa mwisho hilo linapotokea? Na, je, uamuzi huo utatekelezekaje kama pande zote zimeshindwa kufikia muafaka?
 
mi hapa sipawez bwana! ntarudi kujaribu badae:yo:

kwani siku zote ninyi mnakubaliana? kama ni kushoto wote kushoto, kama ni kulia wote kulia? na kama mbele wote mbele, kama nyuma wote nyuma?
 
Mke angejaribu kutumia busara kidogo na hasa kama mna watoto,hewallah sio utumwa kama kweli unaipenda family yako
la hakuna jinsi omba ushauri kwa wazazi wa pande zote mbili....
 
A woman has the last word in any argument. Anything a man says after that is the beginning of a new argument​.
 
Back
Top Bottom