Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

We all love to spend lot of money on buying new clothes, but never realize that the best times era enjoyed without clothes!!!.
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Assalamu Alaikum Admins, Moderators na members wote wa Jamiiforums Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba wa baba yangu aliyefarik leo mchana msiba upo tanga makorola mi nipo iringa...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Nimekuwa najiuliza hili swali pia nimefanya jitihada za kusoma vitabu,tafiti,makala na baadhi ya movie. Kumekuwepo na harakati za kueneza ujumbe wa Haki na Usawa katika mahusiano. Kimtazamo wangu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Jameni kama ilivyo ada sikukuu zimeanza na watu wanaachika,wapenzi kunuiana,ndoa zinakua ndoano ati kisa sikukuu,kama kulikua na mtu anamtaka mdada anampata sikukuu,wadada nawauliza je ndio mara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
If you are SINGLE and keep on saying "I DON'T TRUST MEN/WOMEN!" remember... your mates are getting married every Saturday. Let me ask you, are they marrying spirits? Wise up! If you are MARRIED...
18 Reactions
94 Replies
6K Views
Jambo wapendwa Wakati wa tendo la ndoa huwa unafumba macho kuusikilizaia utamu au unamkodolea mimacho mwenzako? Mimi huwa nafumba macho. Siku moja nilikua na shem wenu fulani tuko faragha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mi ni kijana ninayependa kufanya mazoezi na pia mi ni mchezaji wa timu ya mpira wa miguu na nina mpenz ambaye amekuwa kikwazo kwangu kwani anapenda mda wote niwe naye hata muda wa kwenda zoezi na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna muhindi alifanya mapenzi na msichana mmoja mweusi wa kitanzania,kuna siku wakakutana huyu dada katika kumsalimia kwake muhindi akamuonesha kidole kidogo cha mwisho cha mkono huku...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wasomaji wa Biblia wanaufahamu mstari kwenye Biblia unaosema "kwa maana jinsi hii mungu aliupenda Ulimwengu" Wataalamu wa Lugha watakubaliana na mimi kwamba maneno au majina ya vitu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
mambo vp Jf,simuelew mpenz wangu jaman,niliachana nae kitambo na tumerudiana hv karibuni,lkn hanipi denda na sababu anasema kuwa huko nyuma mate yangu yalimsababishia vidonda koon hvo dactari...
0 Reactions
113 Replies
13K Views
Hi Jf, Ni miezi mitatu imepita toka niachane na huyu X-girlfriend. Mwanzo wa kuachana alionekana kunichukia sana lakini mimi nilimchukulia kama rafiki wa kawaida tu. Nimekuwa nikiongea naye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu anaenifuata,alikuja kutambulisha mchumba mwezi wa pili wakatoa mahar na ndoa imetangazwa itakua june keshokutwa.Mdogo wangu ameniambia juz anamimba ya miez sita na jun itakua miez...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jana alfajiri amekuja wifi yangu mke wa mdogo wangu analia usiku wakuamkia hiyo jana kamfumania mume wake na house girl wao. Yeye ana salon yake m,nyamala na huwa siku zote anarudi saa 5 hadi 6...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hi ladies and gentlemen. Siku za hivi karibuni, mikasa ya usaliti na kukosa uaminifu kwenye mapenzi imekua inaongezeka kwa kasi. Sababu zipo nyingi na thread zenye hizo sababu naamini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
mada zinarudiwa rudiwa...visa vinafanana...visa vya kizushi zushi...uongo ambao hata kwa kupapasa tu unajua hamna kitu hapa!...kiufupi sioni jipya! ombi langu:watu wenye mambo ya ukweli...na...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
hataki,nipigiwe simu na rafiki yeyote wa kiume awe class mate,work mates,school mates,my homme friends...oooh! ushauri nifanyeje,vile anatamani hata mail zangu zote asome kama kuna mwamume...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Ndugu wapendwa kuuliza siyo ujinga. Mim nina mpenzi ambaye yuko nyumban na mim niko chuoni, mwez wa2 alidai ameshika ujauzito maana nilienda likizo fupi. Mimi nilifurahi lakin yeye akawa anadai...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Natafuta msichana wa 18-35 ambaye hajaolewa na haishi na bwana. (only 4 fun) Ninaumri wa miaka 35, naishi Rsa nakuja Tz mara 2/3 kwa mwaka. Vigezo: awe anajiweza kiuchumi, mkweli, hanywi pombe...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
hapo juu kwenye bango la jamii forums,siku hizi kuna matangazo mengi,mojawapo ni la oxforo....forex,naomba anayejua kuhusu hii foreign currency trading unavyofanya anifundishe,au kama kuna course...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kweli TANZANIA hii, elimu ya kuchagua wenza inatakiwa ili nchi ikombolewe! Yani matatizo mengi ya ndoa ukiyachunguza chanzo chake utakuta ni kwamba watu wamechokana tu! Hii inasababishwa na...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom