jamani eeh.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani eeh....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jestina, Apr 5, 2012.

 1. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hapo juu kwenye bango la jamii forums,siku hizi kuna matangazo mengi,mojawapo ni la oxforo....forex,naomba anayejua kuhusu hii foreign currency trading unavyofanya anifundishe,au kama kuna course mahali wanatoa kuhusu hii kitu aniambie,na mie nataka kutengeneza pesa......leo nimeona kny yahoo news mkaka anaitwa alex hope alikuwa mkaka wa matanuzi,kakamatwa ila anadai kazi halali anayofanya nii hii forex trading......so na mie nataka nitengeneze pesa...niko tayari kusafiri,ila sio nje ya hapa nilipo....

  thanks in advance.:yell::yell::disapointed:
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  jamani hakuna anayejua?
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Peleka huu ***** wako jukwaa la biashara
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160

  kama hujui pita kimya kimya na wewe!!!
   
 5. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  hadi mimi nimeogopa kusema chochote.
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  sema mwaya....

  NN ni mkwe wangu kwa mwanangu wa mwisho,hivyo tunataniana.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hujambo wewe Jestina?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Mamkwe mnoko kaa nini
   
 9. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Forex Trading is trading currencies from different countries against each other. Forex is acronym of
  Foreign Exchange
  . For more info:-
  What is Forex Trading - An Introduction to Forex Trading

  word of caution this is not for the faint hearted.., come easy go easy.., kama unavyoweza kupata pesa nyingi ndivyo unavyoweza kupoteza pesa nyingi pia (this is more like gambling) unapredict pesa ya nchi fulani kwamba itapanda kwahio unanunua ili ikipanda uuze upate profit.. utamu ni pale itakaposhuka badala ya kupanda :)

  No guarantee you can end up more broke and penniless.. ila just for fun kuna sites nyingi you can play the game just for fine without really investing.. pia kufanya forex trading sio lazima uwe nje ya nchi you can be anywhere in the world just trading using credit cards and the likes
   
 10. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  asante mwaya,na mtu anaweza akaanza kuinvest na hela kidogo?? au lazima uwe na mamilion? maana sina hela ila nataka kutengeneza pesa....:)
   
 11. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  sijambo mkwe,hujambo?:nod:
   
 12. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  hebu copy na kupaste hiyo link kwenye search box ule somo
  www.babypips.com/school/how-you-make-money-in-forex.html
   
 13. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  unaweza ukaanza na hata 100usd, njia rahisi kuna sites ambazo unajiunga unakuwa member (hao ndio wanakuwa brokers wako) wewe ukinunua currency kutoka kwenye site yao (by just a clicking a mouse) ila kama nilivyosema uwezekano wa kutengeneza pesa unaendana na kupoteza pesa, ndio maana nikashauri hizi websites huwa zina demo yaani unaanza ku-trade bila kutumia pesa (just as a game) hapo kweli ndio mwisho wa siku utajua if this is for you.., sababu wengine inakuwa kazi kulala huku ukijua kuna kama laki tano zako ambazo kesho zitakuwa milioni moja au zitakuwa sifuri..

  Waweza kupata pressure bure !!!
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Jukwaa la mapenzi .... Unataka kusafiri lakini sio nje ya ulipo .... unataka kutengeneza pesa .... huna mtaji wa pesa za kuanzia ....
  Jestina nikiunganisha hizo dots, akili yangu inakuelewa tofauti sana. Unaniruhusu nitafsiri hii ndoto?
   
 15. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  acha kuwa judgemental bro...sijasema sina mtaji,nimeuliza ni shiling ngapi kama ni hela nyingi sana sitaweza hii haimaanishi sina pesa kabisa,ndio siwezi kusafiri nje ya nchi hii niliyopo ila naweza safiri hapa hapa na mikoa mingine....kwani kuna ubaya????nimeiweka jukwaa la mapenzi sababu huku kuna watu wengi sio kama majukwaa mengine,ningeiweka la biashara labda nisingepata hii input,ningeweka la siasa ila kule watu wana mastress muda wote,,,,,:)....anyway unganisha hizo dots unavyotaka....huninyimi usingizi mie..!
   
 16. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kama ni hivyo naweza nikafford,ila mie nasuffer panick attacks,sijui km nitaweza......nikipata mtu wa kunifundisha cha kufanya one to one tution,naweza nikajaribu lol...Thanks kwa mchango wako.
   
 17. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Kama ni hivyo inabidi kuwa muangalifu, sababu hii trading mara nyingi sio knowledge ya kufundishwa bali ni character ya mtu ku-take risk na ku-manage tamaa (trade what you can afford to loose), sababu hakuna mtu ambae anaweza aka-guarantee kwamba dollar, pounds, yen, au Deutsche mark itapanda au kushuka lets say kesho au keshokutwa au leo usiku..

  Hivyo basi kujua inabidi labda uangalie indicators tofauti ambazo zinaweza zikawa social, political au economical (hata hivyo bado unaweza ukakosea)... sababu hata ma-benki yote makubwa nayo yanafanya forex trading na kununua kwa currency fulani kwa wingi kwa wakati mfupi inashusha currency (hapo utaona kwamba hii sio a guarantee science bali ni prediction na gambling) ingawa kufuatilia data kunaweza kufanya ukapunguza loss na kuongeza gains... (ila inabidi ujiulize is it worth it for you kama una panic attacks kukosa usingizi usiku)
   
Loading...