Nampenda ,lakini wivu wake ni balaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda ,lakini wivu wake ni balaaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by babyline, Apr 2, 2012.

 1. b

  babyline New Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hataki,nipigiwe simu na rafiki yeyote wa kiume awe class mate,work mates,school mates,my homme friends...oooh! ushauri nifanyeje,vile anatamani hata mail zangu zote asome kama kuna mwamume hapo...ila nampenda wivu wake kero kero....naye anipenda sana sana...
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Vumilia saba mara sabini.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Mkalishe umweleze huo wivu unakuboa.
  kama haelewi, chagua kusuka au kunyoa.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  we una wivu wa hivyo?
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  kama anataka vyote je?
   
 6. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Wanasema ukipenda booga,penda na ua lakee
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kama anakupenda na unampenda waambie ukweli hao rafiki zako wa kiume waache mazoea na wewe.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hapana Mwajuma...wangu haste haste tu. Wewe je?
   
 9. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani si uni pm.
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mi nina wivu sana..
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Punguza
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nipe mbinu za kupunguza hamisi.
   
 13. r

  royna JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I am not sure if that is the health behaviour to a relationship! Sijaju mko kwenye status ipi ya uhusiano, na sijui mna mpango gani, ila nafikiri kama hiyo tabia isipobadilika na bahati mbaya ikizidi, unaweza shindwa kumantain maisha hayo siyo marahisi,since you need male and female relatives to keep your social going!
   
 14. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Wivu ni mzuri but ukizidi ni kero sana,solution ni yeye kubadilika au wewe kujiadjust apendavyo!
   
 15. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Urafiki wa mwanaume na mwanamke wasio na undugu kuna wakati ukivuka mpaka unashtukia watu wame do..unaanza taratibu then siku yanageuka,so mshikaji anahofia na pia huenda alishawahi kutendwa huko awali kwa style hizo hizo za class mate,ni rafiki tu,au work mate,mwisho wa siku akakuta mate anakula mate
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Asuke za pembeni anyoe kati

   
 17. Ambakisye Lazar

  Ambakisye Lazar Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Mapenzi ya kweli, lazma wivu uwepo. Ukikimthamini mtu, lazma wivu uwepo. Jichunguze unachat vp na hao rafiki? Wakikucol unaongeaje nao? Ukiwa na mpnz wako thn ukakutana na rafiki yako, unawasalimiaje? Hivi ndivyo vimpavyo presha . Anatambua mapenz mengi huanza kwa jst cmpo smiles, salam nyng etc. Jarb kurekebsha hayo kwanza.
   
 18. b

  brianjames11 Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapenzi ya kweli lazima yawe na wivu. Kwahiyo kama mtu ana wivu na wewe ni ishara tosha kuwa anakupenda. Ila ni vema ukumbuke kuwa uhusiano wowote ule wa kimapenzi unaletwa na mawasiliano kati ya watu wawili. Kama unapigiwa simu na classmate au work mates ina maanisha mna mawasialiano ambayo yanaweza kuleta mapenzi kati yenu. Ni lazima kuwe na mipaka, sidhani kama ni sahihi kwa work mates au classmates kukupigia simu au kuchat kila mara, hili ni hatari na kama mpenzi wako haoni wivu basi hakupendi. Jiulize je ni sahihi kwa huyo mvulana wako kuchat na classmates zake kila mara?hupati wivu?

  Kwa kifupi mazoea ni mabaya na yanaweza kukuharibia maisha yako yote ni vema ukawa na mipaka na ukaconcentrate na huyo mpenzi wako kuliko hao marafiki wengine ambao wanakutaka kwa kupitia mawasiliano ya mara kwa mara. Ila kama unataka kuwa malaya endelea kuchat nao na majibu yake utayapata muda muafaka.
   
 19. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  mapenzi ni kuaminiana sasa huyo anayekuwa na mashaka muda wote juu yako si balaa au huaminiki ana hofia mwenendo wako?
  Akiendelea hivyo itakuwa balaa ni future kwakuwa huwezi ishi bila ku interact na watu wengne ambao ni tofauti na jinsia yako ina maana mtakuwa mkigombana kila wakati.

  Muonesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya dhati kwa mwenzi, lakini too much inakuwa kero try to talk to him
   
 20. Da Asia

  Da Asia JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 725
  Likes Received: 369
  Trophy Points: 80
  kama ni mchumba au mume, vumilia, ila kama ni kiji boyfriend tu ambacho hakuna commitments, kazi ipo...
   
Loading...