Habar rafiki zangu humu mm naitwa soud j soud napatikana unguja zanzibar nahitaji girl frend mwenye umri wa miaka 19-23 awe anaridhika na kazi yangu ahsanteni sana call me numbers0774368196 au...
...nadhani sasa ktk mauhusiano ya kimapenzi imefika mahala tuongeza hiki kifaa kinachoitwa Helment ili kujikinga na mathala makubwa yanayoweza kutokea ktk mikwaluzano ya kimapenzi...KAMA KWELI...
Mimi naamini kabisa kwamba Lulu siyo wa kulaumiwa kwa haya yanayomkuta sasa na badala yake WAZAZI WAKE kama anao ndiyo watu wa kwanza wa kulaumiwa kwa huyu mtoto-Lulu. Wazazi wa Lulu hawakuwa...
Ndugu zangu nimekoma. Juzi nilikula supu ya pweza, basi Bwana Mdogo wangu karibu achomoke kwenye makazi yake nikingali kufika nyumbani. Yaani mpaka alivunja kufuli, tena Solex original!
Sirudii...
Habari wana Jf,Ndugu zangu mim ni kijana wa miaka 23 nina kakayangu ameoa na ana watoto wawili,chakushangaza mke wake ananitaka kimapenzi,akisema kakayangu cku izi hana nguvu za kiume anazaidi ya...
Habari za Pasaka wandugu, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24. Nilitokea kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja tuliyesoma naye shule ya Msingi mwaka 2001, kwa bahati nzuri kwake...
Ilikuwa ni tar 01/03/12 siku niliyokutana nae rasmi hapo jf,nilifurahi sana na yeye vilevile kwan tuliona kama ni ndoto.
Malengo yetu yalikuwa ni kuoana na alisisitiza sana tusifanye mapenzi...
wana jf wenzangu naombeni ushauri nilimpenda kijana ambaye hakunipenda, alinipotezea muda wangu na kunifanya shuleni nisifanye vizuri. kwa kifupi alinitesa sana alikuwa akiongea na mpenzi wake...
In the 1950s, more women aspired to marry their bosses. Photograph: Lambert/Getty Images
Karrne ya 20 na kabla ya hapo njozi ya wanawake wengi ilikuwa kuolewa na mwanaumme mwenye kipato kikubwa...
Kuna Bidada nimehangaika naye kwa takribani mwaka mmoja sasa. Usishangae kwanini mwaka Mmoja ni kwa sababu imefika bei na mrembo wa haja.Juzi kati amenichanganya kidogo kwa maswali aliyokuwa...
Leo siku ya Pasaka na Ujumbe wangu ndo huo,Ukipendwa Nawe Pendeka,na Ukiitwa itika ili ucje ukaitika usipoitwa na kupenda usipo pendwa.
Mytake.kuweni waangalifu.
Hi! wana JF!
Hivi kuna uwezekano wa mwanaume na mwanamke kuwa ktk uhusiano wa kawaida kabisa kama marafiki tu bila kuwa wapenzi?
Kuna mkasa mmoja ambao naufahamu wa mwanaume na mwanamke ambao...
Ndugu zanguni watanzania wenzangu wapenda amani.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, mtaratibu, mpenda haki, mpole , mwenye elimu ya chuo kikuu, na ni mwanasheria mwenye uzoefu wa miaka mi4...
I would probably never get a single piercing on myself but I love them on women (both ears pierced)
It makes the women look hot.
Sipendi watoge pua au sehemu nyingine ya mwili
Wadada...
Nionavyo mimi mwanamke mwolewaji anasifa zifuatazo. (zingatia: mapenzi hayana formula only use this as a rough guide).
Huruhusu mapenzi yawe wazi.hivyo mara nyingi atakutambulisha kwa ngudu na...
Rafik yangu amekuwa akinisaidia mambo mengi sana, sasa ananipa mtihan anataka nimle tigo. Ckujua kama anatabia hiyo. Nina vitu vyake ving natumia. Sa nifanyeje?
Unakuta kijana kaanza kazi
Miezi michache tuanachukua mkopo wa gari hapo anaishi nyumba ya kupanga
20% ya mshahara nyumba ya kupanga maana hawezi kuishi uswahilini
50% marejesho yamkopo wa...
Muindi wa kwanza
Nilifanya kazi kwake miezi miwili tu.daah kweli mzee Yule alikuwa na visa
Nilikuwa receptionist,secretary,administration.accountant,kilakitu
Saa moja keshanifata nyumbani...