Rafiki yangu

Kariongo

Senior Member
Apr 5, 2012
112
5
Rafik yangu amekuwa akinisaidia mambo mengi sana, sasa ananipa mtihan anataka nimle tigo. Ckujua kama anatabia hiyo. Nina vitu vyake ving natumia. Sa nifanyeje?
 
unatumia vitu vyake?
so unashindwa kukataa?
angekuwa na yeye anataka kuku nanihii wewe je??????

wazazi wako wana hasara....
 
Ni hatari sana,BIBLIA inasema mfiraji na mfirwaji hawatauona ufalme wa MUNGU. Acha kabisa kimbia mbali.
 
Nafikiri kama ningekua na nia mbaya nisengeyasema haya. But we have to learn that there people like that.
 
haifai hata kuuliza humu.kwani wewe jibu huna?hujui zuri na baya?kazi ipo
 
Pole sana kwa mtihani uliokukuta. Kwanza kabisa kabla ya kujibu swali lako ningependa kujua huyo rafiki yako ni wa kiume au wa kike? Na wewe ni mwanaume au mwanamke?


E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
 
Kwa nn unapenda vya watu? Vya bire gharama, fanya kazi usipende vya kupewa ona sasa vimekutokea puani!
 
msipende vya watu matokeo yake ndo hayo....
Kataa, na ujitegemee bila kusubiri msaada wa'masharti'
 
Sio kwamba napenda vya bure, i thought he was doing just like friend, kumbe anayake malengo. Cku tumeenda kunywa, kanunua bia kibao then ndo akaniambia. Nimuambia i was shorked, so i better be silence. But ananisumbua anataka jibu. I dont the courage to do such a thing.
 
Wewe ni wa KIUME au MWANAUME mwenye sifa za Kuitwa NYAMAUME? IV angekuwa anakuomba inya ungempatia kwa vile tu amekusaidia? Acha upumbafu kuwa na mawazo huru kama unataka kula INYA lamba kwa raha zako kama sivyo chapa lapa na usepe
 
Back
Top Bottom