Nisaidieni Kudadavua: Ana maanisha nini?

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Kuna Bidada nimehangaika naye kwa takribani mwaka mmoja sasa. Usishangae kwanini mwaka Mmoja ni kwa sababu imefika bei na mrembo wa haja.Juzi kati amenichanganya kidogo kwa maswali aliyokuwa ananiuliza na hasa baada ya angalau kuanza kunipa yellow & green light at de same time. Mazungumzo kwa simu yalikuwa hivi:Swali: Hivi umeshawahi kulamba na kunyonya mlango wa uani?Jibu: Hapana.Swali: Umeshawahi kupata demu anayegawa tiGO.Jibu: hapana Swali: Kwanini vyote hujafanyaJibu: Am too selective on love affairs. Sikurupuki tuu kwa sababu demu ananivutia bali nina vigezo vyangu ambavyo wewe unatimiza kwa kiasi kikubwa.KINACHONISUMBUA: Katika maongezi yetu huwa ananieleza kuwa hawapendi mademu wanaogawa tiGO na kunitajia baadhi ya wafanyakazi wenzie wanaoliwa tiGO sasa leo ananihoji maswali haya. Je! yeye mwenyewe analiwa tiGO? Je ananiona mimi naelekea kupenda tiGO? Tafadhali nisaidieni kunitatulia hili kwa kunipa "hints" za kuweza kubaini lengo la maswali yake angalau kwa kukisia tu kwani najua yeye ndie aliyestahili kuniambia hayo.
 
...amefika bei na ni mrembo wa haja:nianzie hapo...je kwakua umemtaka sana kwa muda mrefu akikupa nnya utakula?...

majibu kwa maswali yako:kuhusu yeye kutoa tigo...NDIYO...kuhusu wewe kuwa na mwonekano wa kupenda tigo...NDIYO!
 
hakuna kitu kinatisha kama kuingia kwenye mahusiano mapya
sababu hujui morals za mtu unayetaka kuingia naye mahusiano
na utoaji au upendaji wa tigo umekuwa kikwazo cha wengi.

Raha ya mapenzi muwe na mnakaribiana kwa vitu mpendavyo. Kama wala tigo basi iwe wote, kama hamli basi muwe wote.

Hii mmoja anataka mwingine hataki, ni pasua kichwa tu.
 
Kitufe za "Reply With Quote" kinanisumbua. TANMO; Jina langu lina shida gani? Jina lina maana ya AMANI YA MUNGU. BAGAH: Kula si lazima nifundishwe ndugu yangu na nikielewa naweza endelea. LIZZY: Soma mpaka mwisho nimelisema hili kwa sababu nalijuwa kama sio LIZZY basi ni SMILE ambao lazima wajibu ovyo. Ila karibu tena
 
nimekusoma bazazi...uyu Lizzy anajikuta yeye ndio jeieeef!...wanaboa kinoma!..
 
Kitufe za "Reply With Quote" kinanisumbua. TANMO; Jina langu lina shida gani? Jina lina maana ya AMANI YA MUNGU. BAGAH: Kula si lazima nifundishwe ndugu yangu na nikielewa naweza endelea. LIZZY: Soma mpaka mwisho nimelisema hili kwa sababu nalijuwa kama sio LIZZY basi ni SMILE ambao lazima wajibu ovyo. Ila karibu tena
Umesema kitu gani?
Kua upewe hints?
Watu watano wakikwambia NDIO anapenda na watano wakikwambia HAPANA wapendi utachagua upande gani? Muulize yeye ndie anaejua kwa uhakika nia na malengo yake. . .hamna anaeweza kumjibia kwa uhakika hapa. Ndio maana hata wewe unaeongea nae UMESHINDWA.
 
LIZZY: Hints sio majibu ya NDIO/HAPANA. Naamini unajua angalau ABC ya somo la takwimu: nipe ufahamu wa nini cha kufanya kufikia kujua kwa uhakika kama jicho lake limelegea au bado imara?
 
LIZZY: Hints sio majibu ya NDIO/HAPANA. Naamini unajua angalau ABC ya somo la takwimu: nipe ufahamu wa nini cha kufanya kufikia kujua kwa uhakika kama jicho lake limelegea au bado imara?

Muulize. . . au fanya practical.
Achana na hints. . .zitaishia kukupotosha tu.
 
LIZZY: Sijapewa green light (bado zinawaka zote mbili kwa kupokezana - green and yellow) hivyo siwezi fanya practical. Narudia tena nipe hints kama unaona soo niPM
 
LIZZY: Sijapewa green light (bado zinawaka zote mbili kwa kupokezana - green and yellow) hivyo siwezi fanya practical. Narudia tena nipe hints kama unaona soo niPM

Mimi sina hint na ushauri wangu unabaki kua ule ule. MUULIZE MHUSIKA.
 
Naamini una macho ya kuweza kuona picha vizuri, kwa sababu inaonyesha wazi kusoma umeshindwa. Maana yake ni kwamba upo tayari kunyonya ******? Yeye anapenda tiGO, wewe unaifurahia? Hivyo ndivyo anavyomaanisha. Ukidadisi sana utaukosa huo mzigo shauri yako.
 
dah huo mtihani wanaume wengi wanashindwa faulu...pole sana

mwambie tu hujawahi labda mjifunze kama atapenda....basi liachie hapo
 
Back
Top Bottom